Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais


Acha uoga wewe Mabeberu wanawadanganya sana.
 
kabisa . Hata ile kauli ya jeshi la polisi kuhusu uhaini na sakata la kina mwabukusi. Kuna kama namna ujumbe ulikuwa unatumwa mahali fulani tofauti na wengi tulivyoelewa.
Kama una akili ukiona mwenzio ananyolewa na wewe unajitia maji!! Hawa wa hapa wameishaanza kutia maji kwani wanahamishia familia zao kwenda Uarabuni na Canada!!
 
Kuna jeshi la vichaaa wa nchi flan wapo bize kusumbua raia kisa mfanano wa nguo
Kwakweli inafikirisha sana yaani majitu yanapiga Hela yanauza Mali za nchi lakini jeshi linakuja na hoja kwamba atakaekutwa na soksi au begi la linalofanana na la jeshi atakiona Cha mdumula ngwagu wakati huo tunasubir mazoezi ya kuvunja matofali na mdomo
 
Ila hata nembo ya ccm inaweza kumwalibia mkuu wa Kambi km yakipelekwa majungu ngazi za juu jeshini
 
.
 
Ya hapa kwetu mkuu ni bure kabisa mpaka bandari inataka kuchukuliwa kwa mkataba wa ovyo yamelala tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…