Ramon Sanchez
JF-Expert Member
- Oct 9, 2022
- 767
- 1,850
Watu wanachoka kuona vigogo na watoto wao wanakula nchi huku watoto wa walalahoi wanatupiwa maneno ya dhihaka tu.Mkuu acha kabisa usiombee mapinduzi ya kijeshi yatokee huku kwetu yaani ni kitu kibaya kabisa, hakuna cha rule of law kwenye nchi yenye mapinduzi ya kijeshi na hujui kesho yako itakuwaje. Ni bora tuendelee kurekebishana hivi hivi kwa kutumia majadiliano. Kwa kweli Mungu apishie mbali!
It's a coup not a rebellionhuo sasa ni uasi
Watu wamechoka na vyama vikongwe visivyokuwa na tija kwa watoto wa masikini.Africa inapitia kipindi kizuri mnooo FRANCE [emoji632] analia lia huko
🤣🤣🤣🤣Na jeshi lenyewe limeingia mkataba na waarabu. Washalambishwa asali za waarabu ndio maana wako bize kutafuta soksi zenye rangi ya jeshi 🤣Ya hapa kwetu mkuu ni bure kabisa mpaka bandari inataka kuchukuliwa kwa mkataba wa ovyo yamelala tu.
Unachokiogopa ni Nini kwenye mapunduzi?dawa yenu inachemka lazima mtu ashikiliwe kifungo Cha nyumbani kwake pambaf zenu maana mmezidi sasaKwa hiyo unataka na wakwetu wafanye Mapinduzi.
Wewe ni ndezi na Mjinga sana
Kiukweli Vuguvugu Hilo na litue Africa ya mashariki Kuna watu wapo madarakani kama figures tu lakini Hamna la maana linaloendelea zaidi ya kutuongezea umasikini tu kiukweli tumechokakwa niger kwenyewe ECOWAS wamenywea, Gabon ndio imewavuruga mazima. Soon ukanda wao yatatokea tena mapinduzi mengine tena na watazidi kuvurugikiwa washindwe waingie wapi na kubaki kila mmoja akijipambania nchini mwake. Mapinduzi yanazidi kupamba moto na kuonekana ni mtindo mpya wa kuleta mageuzi ya kisera na uongozi kwa haraka. Kwa mtindo huu zipo nchi ukiziangalia tawala zao unaona ni dhahiri mapinduzi ya kijeshi kutokea wakati wowote. Nchi kama Cameroun, Uganda, Rwanda na zingine zenye demokrasia za magumashi kuna dalili za kutokea mapinduzi ya kijeshi au raia wakaungwa mkono na jeshi kutwaa madaraka
Chama cha kipuuzi sana kile. Kimejaza watoto wa vigogo tu wanakula nchi jinsi wanavyopenda. Mawazo yako yapo kama yangu.Itokee kwa Paul Biya wa Cameroon, Yoweri Museven wa Uganda, Paul Kagame wa Rwanda....then tuhaikishe inatokea Nyashiland kwa kuitoa Chachamaa madarakani, tushachoka na lichama la kijani sie.
Licha ya hayo uchaguzi wa safari hii haukuwa sawa internet imekatwa, hakuna observers, televisheni za nje zilizuiwa kuripoti na kukawepo amri ya kutotembea usiku.Watu wamechoka na vyama vikongwe visivyokuwa na tija kwa watoto wa masikini.
Maku kabisaWAmnyonge tu na baba kam yupo hai naye wajumuishe
Wangese sana ile familia
Bora ugali ukosekane, wote tufe kisha nchi ianze upya kuliko kukaa na kuona watoto wa vigogo wakiendelea kuneemeka tu na rasilimali za taifa.Wagalatia mnahamasishana kkuhusu mapinduzi,hivi mnayajua kweli! jeshi likichukua nchi hata huo ugali wa kula na wanao utausikia kwa jirani mbuzi wewe
Hovyo sana mkuu. Ni sawa na uchaguzi wa 2020 katika nchi ile ya hovyo kule North Africa.Licha ya hayo uchaguzi wa safari hii haukuwa sawa internet imekatwa, hakuna observers, televisheni za nje zilizuiwa kuripoti na kukawepo amri ya kutotembea usiku.
Kumbe watu wako chobingo wazichakachua kura.
Hii ilikua 2015 uchaguziBora ugali ukosekane, wote tufe kisha nchi ienze upya kuliko kukaa na kuona watoto wa vigogo wakiendelea kuneemeka tu na rasilimali za taifa.
Endelea kujitoa ufaha tuUnachokiogopa ni Nini kwenye mapunduzi?dawa yenu inachemka lazima mtu ashikiliwe kifungo Cha nyumbani kwake pambaf zenu maana mmezidi sasa
Watu wanafanya masuala ya hovyo alafu wanatutishia kifo mashujaa kama sisi. Walikufa akina Patrice Lumumba na Samuel Doe wa Liberia kwa ajili ya wananchi wao sembuse mimi??Hii ilikua 2015 uchaguzi
Acha mikwara. Watu wamewachoka chama chenu na watoto wenu.Endelea kujitoa ufaha tu