zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Nchi za Afrika ngumu sana, yaani mtu alipata stroke bado hajapona ila analazimisha kuwa Rais alafu akipinduliwa ndio anakimbia!! Inakera sana. Nadhani ifike Mahali wawe wananyongwa hadharani kuepusha hizi tabiaYule mzee anavyoumwa bado anataka madaraka?
wanamlia timing, ni suala la muda tuWafanye na nchi fulani wasisahau kwa mseven
Amani yetu hata Sudan na Gabon wameichoka. Amani huku matumbo yana njaa wapi na wapi. Kazi kujaza watoto wao katika kila fursa.halafu huku kwetu bado wapo wapo tu wamelala mguu juu. Tuna safari ndefu kuwafikiwa hao wa Gabon kwa kweli- kwa hisani ya "amani yetu"-mama Tanzania
Najaribu kufikiria hizi nchi zote zinazofanya mapinduzi, mkuu wa majeshi anakuwa hayupo; ile 'power' yake inakuwa imedhibitiwaje?, ingawa jeshini wapo wanaonufaika na mfumo na hawatapenda mapinduzi yatokee.Yaonekana ni makamanda wa vikosi vyote vya jeshi.zimamoto,magereza,ffu na mpaka mgambo.
wakimchoka watampa kifinyoNi tamaa zao tu mseven naye ni kibaraka wa mabeberu
Atakuja kutokea mmoja mwenye uchungu na nchi yake. Hata kama sio sasa, basi hata 20 years to come.Huku haitokuja kutokea ,wanasiasa wanajua kula nao vizuri.
Gabon haipo ECOWASECOWAS hapa hawajui washike la Gabon au waache la Niger. Nyakati nzuri sana hizi kuishi, Mungu atupe umri mrefu tuone mwisho wa hili vuguvugu ukoje.
FFFFFKabisa hawana akili
cameroun ikae mguu sawaWaende na cameroon
Inawezekana mfaransa aliwapa mafunzo ya mapinduzi, au mapinduzi ilikuwa ni sehemu ya kozi kwenye mafunzo yao. Haiwezekani nchi zote zilizokuwa chini ya ufaransa ndio zinazofanya mapinduziWest Africa wanajielewa Sana
Gabon on Monday marks 60 years since it gained independence from France, and yet a glance around the capital Libreville begs the question whether it has ever made a clean break from the former colonial ruler.enyi wachambuzi wa mambo, mnataka kusema putin ameamua kumfurusha mfaransa katika makoloni yake afrika?
Huyu kwa hali ile huko ikulu alikua anaenda kufanya nn? Naona jeshi limeona huu ujinga sasa ngoja tuwaweke kandoNchi za Afrika ngumu sana, yaani mtu alipata stroke bado hajapona ila analazimisha kuwa Rais alafu akipinduliwa ndio anakimbia!! Inakera sana. Nadhani ifike Mahali wawe wananyongwa hadharani kuepusha hizi tabia
kwetu kwenyewe kuna tension kubwa hata kama jeshi ni makada watupuhakuna nchi iliyo salama afrika kwamba haina uwezekano wa kutokea coup . Watu wasijifariji sana
Hii sio kweli, hata hao waliopindua nao wanakua vibaraka wa wengine. Labda useme wametofautishiwa master tu ila Kwa Dunia ya Sasa ni lazma uwe eastern bloc au western bloc otherwise utapotezwa kwenye ramani.Safi sana.
Mungu ibariki Tanzania na sisi tufikie huku.
Tumechoka kuwa watumwa wa hawa viongozi vibaraka wa whites.
ππππ Watu wanaonyesha mapenzi na Jeshi lao Jeshi linawakataa vueni magwanda hayo hatutaki mapenzi na nyinyiKuna jeshi la vichaaa wa nchi flan wapo bize kusumbua raia kisa mfanano wa nguo