Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ni takatakaTofautisha mfanya biashara mwekezaji na na mtawala, France anachukua tu anavyotaka usilete mifano ya ajabu hapa. Hakuna mtu kakushikia bunduki ufanye naye biashara wewe mwenyewe umemuomba aje awekeze kama kuwajibisha serikali yetu kwenye uchaguzi kapige kura usituletee nuksi kwenye nchi yetu. Kwa taarifa yako huku CCM wapo mpaka kwenye nyumba unayokaa.
Nigeria walishaondokana na huo ujima.Kabisa Nigeria [emoji1184] a some alama zanyakati
Watu wajinga kama nyie hamuwezi kuzuia mabadiliko.Jpm Alijaribu na lakini mabadiliko yataendelea.hamuwezi kuendesha nchi kama ni ya familia zenu kama yanayofanyika hapa Tanzania kuingia mikataba mibovu ili Watu wachache wafaidishe familia zao.jiandae mabadiliko yanakuja hata hapa Tanzania.watu wa ovyo kama nyie mtahama nchi.Tanzania sio Nchi ya wajinga kama huyo ukiyemtaja,ndio maana hayupo asingekubaliwa kuleta upuuzi wake
Wajeda ni wahuni aisee wamemweka Mzee Ali Bongo kwenye Maktaba ya Chuo na yupo peke yake then wanaiambia Jumuiya ya Kimataifa kuwa Mzee yupo nyumbani na familia yake pamoja na madaktari kadhaa.Wawanyonge wote kufuta kizazi kiroho cha nyoka.
Vifaru vilitiwa mitaani Visiwa fulani.Nilipo mimi,kwanza wanapasua matofali kwa vichwa(ila matofali hayo,sharti yawe yametengenezwa na wao wenyewe,usiulize kwanini),wanapiga raia ambao hawana mafunzo yoyote rasmi ya kupigana(na hao raia wanaopigwa,ndiyo waliolipa kodi,ili WAO wakapate mafunzo,waje wawalinde).
Kuna kipindi chama flani cha upinzani kilitangaza maandamano,WAO wakatangaza kua siku hiyo WAO watafanya usafi.
Kwetu inasikitisha.
Nakazia[emoji4]Mabadiriko Africa hayawezi Kuja Kwa uchaguzi na kupiga kura.
Viva Gabon Army
Ipaste mkuu..Habari hii imeandikwa na Martin Maranja Masese kupitia akaunti yake ya twitter:
Inasomeka hivi:
Nakazia,Africa hamna demokrasia, uhuni tuUchaguzi wa nchi za kiafrika umeshaonekana ni magumashi na si demokrasia. Afrika mashariki wale jamaa wawili wakae mguu sawa hata kama ni gorilla war wa msituni wamechokwa bora wakajimalize kwenye sanduku la kura waondoke kwa heshima kuliko kuondolewa kwa nguvu
Hao si watu...Wajeda ni wahuni aisee wamemweka Mzee Ali Bongo kwenye Maktaba ya Chuo na yupo peke yake then wanaiambia Jumuiya ya Kimataifa kuwa Mzee yupo nyumbani na familia yake pamoja na madaktari kadhaa.
Teyari nimeiweka.Ipaste mkuu..
Viongozi uliowataja wakae mguu pande[emoji4]kwa niger kwenyewe ECOWAS wamenywea, Gabon ndio imewavuruga mazima. Soon ukanda wao yatatokea tena mapinduzi mengine tena na watazidi kuvurugikiwa washindwe waingie wapi na kubaki kila mmoja akijipambania nchini mwake. Mapinduzi yanazidi kupamba moto na kuonekana ni mtindo mpya wa kuleta mageuzi ya kisera na uongozi kwa haraka. Kwa mtindo huu zipo nchi ukiziangalia tawala zao unaona ni dhahiri mapinduzi ya kijeshi kutokea wakati wowote. Nchi kama Cameroun, Uganda, Rwanda na zingine zenye demokrasia za magumashi kuna dalili za kutokea mapinduzi ya kijeshi au raia wakaungwa mkono na jeshi kutwaa madaraka
Kaangalie movie ya valkaryie ya tom cruise[emoji28]Kwa nini kikosi cha watu 12 tu kipindue na jeshi lote kutii? Wanatumia mbinu zipi?
Afrika magharibi wanajitambua.hapakwetu waom(mboga mboga FC) wameongoza sasa yakaribia miaka 70 bilabila jeshi Lina Shangaan tuu.🤣🤣🤣🤣🪑Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais
Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda amani, kuondoa utawala usiowajibika uliochangia kuvuruga umoja katika jamii
Mapinduzi haya yatakuwa yanamaliza Utawala wa familia ya Bongo iliyotawala Nchi hiyo kwa takriban miaka 53.
==========
Jeshi la nchi hiyo limesema limechukua madaraka baada ya tume ya uchaguzi kumtangaza Ali Bongo kama mshindi kwa kipindi cha tatu.
Katika tangazo hilo maafisa wa jeshi waliojitokeza kwenye televisheni ya taifa walisema wamefuta uchaguzi uliofanyika Jumamosi ambao ulizusha malalamiko na wamefunga mipaka yote ya nchi hiyo pamoja na kusimamisha utendaji wa kazi wa taasisi zote za kiserikali.
========
Gabonese President Ali Bongo Ondimba is being detained at home and one of his sons has been arrested for "treason," military officers said Wednesday, hours after announcing they had overthrown the government.
"President Ali Bongo is under house arrest, surrounded by his family and doctors," they said in a statement read out on state TV.
Bongo's son and close adviser Noureddin Bongo Valentin, his chief of staff Ian Ghislain Ngoulou as well as his deputy, two other presidential advisers and the two top officials in the ruling Gabonese Democratic Party (PDG) "have been arrested," a military leader said.
They are accused of treason, embezzlement, corruption and falsifying the president's signature, among other allegations, he said.
Earlier on Wednesday, military officers said they had toppled Bongo, who has been in power for 14 years, hours after he had been declared the victor in Saturday's elections.
In a televised statement, they said the vote results had been cancelled and "all the institutions of the republic" dissolved.
===========
--
Television announcement came shortly after state election body announced incumbent Ali Bongo had won a third term as president.
A group of senior military officers have gone on national television in Gabon saying they have seized power because elections held over the weekend were not credible.
The officers, appearing on Gabon24 in the early hours of Wednesday morning, said they had cancelled the elections, dissolved all state institutions and closed the country’s borders.
They said they represented all security and defence forces of Gabon.
The announcement came shortly after the state election body said President Ali Bongo Ondimba had won a third term in office in Saturday’s disputed elections.
“In the name of the Gabonese people … we have decided to defend the peace by putting an end to the current regime,” the officers said.
The Gabonese Election Centre said Bongo had secured 64.27 percent of the vote compared with 30.77 percent for his main challenger Albert Ondo Ossa, after a process beset by delays.
On Saturday, the opposition camp said the election was a “fraud orchestrated by Ali Bongo and his supporters” after the internet was cut and a curfew imposed. French media outlets France 24, RFI and TV5 Monde were also banned, accused of “a lack of objectivity and balance … in connection with the current general elections”, the government said.
Bongo was the candidate for the Gabonese Democratic Party (PDG), the party founded by his father, Omar Bongo, who ruled Gabon with an iron fist from 1967 to 2009. After his death, his son, then the defence minister, took his place as president and has been in power ever since.
Tensions had been running high amid Saturday’s vote with the opposition pushing for change and an end to the Bongo family’s dominance of Gabon.
Following the military announcement, the Reuters and AFP news agencies reported the sound of gunfire in the Gabonese capital, Libreville.
Source: Gabon military officers claim power, say election lacked credibility