HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Mliwahi kuongea na Rais hata siku moja au viongozi wenu vibaraka wa ccm ndiyo huwa wanaalikwa ikulu kupeleka ripoti ya kazi waliyopewa ya kuua upinzani na kulipwa kamisheni zao?Acha kupiga kelele kama mtu anaetatuliwa linda kwa nini Rais hataki kukaa chini kuzungumza na hao watu Rais mwenye kajichagua haiachaguliwa na, watu alafu analeta dharau
Ghandi alikuwa na harakati za kupambana bila silaha, baadae akawaambukiza kina King.Hapo Sasa umenielewa.ils sio kama walivyoenda ile tarehe 29.kama hamna nawaomba sana msiingie barabarani.mtapoteza Tena watu.hao jamaa hawana huruma
Uzalendo wako nyamwi ilitakiwa uanzie kwenye kukataa utekaji..unless otherwise wew ni chawa unaetupiwa makomboNilipwe kwa lipi? Mzalendo huwa analipwa kwani?
Acheni kuzua taharuki nani katekwa?Uzalendo wako nyamwi ilitakiwa uanzie kwenye kukataa utekaji..unless otherwise wew ni chawa unaetupiwa makombo
WEWE KIBWENGO TULIA
Hakuna aliyelazimishwa kuandamana. Una uhakika walikufa tarehe 29.10.2025 wote walikuwa wandamanaji?
Andamana wewe na familia yako mkae mstari wa mbele!!Tupo kwenye msiba mzito mauwaji yaliyofanyika hayakubaliki na hayaja tutisha bali yamechochea sababu zaidi maandamano kuna sababu zote za kuandamana hatuwezi kuwa kitu kimoja.
Maandamano ni tarehe 9/12 mauwaji yaliyofanyika hayapaswi kutunikiwa tuzo bali kupingwa kwa nguvu zote.
Tut
Samuya pia asitume polisi kuua watu, aje mwenyewe na bastola kudhibiti maandamano.Andamana wewe na familia yako mkae mstari wa mbele!!
Achana na watu!
Hawakufa nyumbu tu. Kuna mstaafu mmoja wa jeshi la polisi amesafirishwa leo kuja mbeya. Alipigwa risasi akiwa nyumbani kwake na askari.Wale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.
Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
Kwa nenga simu za mwaka wa mbele ziliuzwa laki 2 cash hapo hapo 😹😹Tatizo haya maandamano hukumba hata wasiohusika huweza kupigwa shaba, vibaka, majizi na hata magaidi na majambazi hujichanganya kwa waandamanaji na kufanya mambo yao! Ni ngumu kujua muandamanaji na mpita njia, hawa wajuba hawatabiriki.
Ili uone nyumbu vizuri njoo ground lucha kichokoleo 😹Wale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.
Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
Unataka kufa wa mwisho ulinde dunia?Bado hamjajifunza namna maandamano yalivyosababisha fitna na mabalaa kwetu. Nimejifunza kitu, kwa yaliyotokea na kwa jinsi nilivyoona kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nje hasa vya Kenya, nimeamini kuna hujuma Tanzania inafanyiwa, na Allah ni Mjuzi zaidi. Ninamuomba Allah Ailinde nchi yetu na Aidumishe Amani yetu.
Damu za ndugu zetu hazijawatosha. Na uharibifu wote uliotokea hayajawatosha, mnataka muichome nchi yetu zaidi na watu wafe halafu msambaze picha za maiti zao kuudhalilisha utu wao zaidi, mnataka kutimiza malengo yenu kwa damu zetu na heshima zetu. Nyinyi sio watu wazuri kabisa.
Nchi yetu wote tusipangiane wewe si ulale km hutaki ebooh!!Hatukubali kuichoma nchi yetu moto. Wengine hatuna pa kwenda, nyumbani ndio hapa. Hiyo haki haitakuwepo na hautai enjoy kama hakuna Amani.
Ni bora hiyo CCM kuliko machafuko na uvunjivu wa Amani.
🤣🤣🤣🤣Nimecheka Hadi nimejambaaMimi nikipewa Bunduki nitaandamana, ila kwenda na Bango tu hapana siendi.
Sasa Askari wako na Bunduki wewe uende na Bango tu hapana kwakweli🤣🤣🤣🤣Nimecheka Hadi nimejambaa
Jana na Leo nipo mkuu
Kuna Nyumbu mwenzenu nimewasaidia polisi kumpeleka akhera baada ya kumkuta anavunja duka nilimchapa rungu 1 tu ya kichwaIli uone nyumbu vizuri njoo ground lucha kichokoleo 😹