Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

Kitu gani ulichangia hapo tff mpaka useme yenu
 
Haji Manara ana tatizo la kisaikolojia.
Anafikiri ukimsema unamwonea, ukimwacha unamwogopa.
 
Naiomba serikali, nimedhalilishwa sana, nimeonewa sana, nimedhulimiwa, naiomba Serikali ione nini chakufanya ili kuweka haki kwenye mpira” Manara.

Nami GENTAMYCINE namuuliza Haji Manara je, na Yeye Watu Aliowatukana, Wadhalilisha na Kuwaonea kama akina Shaffih Dauda, Prisca Kishamba, Barbara Gonzalez, Mo Dewji na Jemedari Said na wengineo Wengi tu nao wakashitaki wapi?

Nanyi Serikali endeleeni tu Kumchekea na Kumdekeza Haji Manara ila hii SUMU Kubwa anayoipandikiza kwa Watu Wawili wa Simba na Yanga wanaowakilisha sehemu Kubwa ya Jamii ya Kitanzania Siku si nyingi utakuja Kuzaa Matunda Mabaya Kijamii, Kisiasa na hata Kiusalama kama siyo Kiustawi.

Na huenda hata Haji Manara ameshagundua kuwa Serikali ya sasa ni Ndombolo ya Solo tupu ( nikimaanisha ni ya Mchezo na ipo ipo tu ) ndiyo maana anapata hadi Jeuri ya Kuitajataja na Kuiamrisha kila mara kwa namna atakavyo na apendavyo.

Hivi zingekuwa ni Serikali za Watu serious na wasiohitaji Upumbavu, Upuuzi na Uswahili za akina Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Hayati Mkapa na Hayati Rais Dk. Magufuli huyu Haji Manara angekuwa na hizi 'guts' zote alizonazo katika Awamu hii ya Mwana Mama Rais Samia Suluhu Hassan?

Kazi yangu JF ni Kutoa tu Maangalizo.
 
Kwani ukikubali aliwadharau na kuwadhalilisha unapungukiwa nn??? Eti lugha za watoto wa mjini, poleeeeeeh sanaaa.

Alishasema ni hamnazoooo, woiiiiiiih.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama kuna ulazima wa kukubali maneno ya Haji basi kubali na wewe kuitwa KOLO na nyinyi kuwa MakoloWizardinhoz
 
Mkuu respect nondo zimenyooka..... Zungu aje ajibu au wahuni wenzake humu jamii forum wamsaidie..
 
Kama kuna ulazima wa kukubali maneno ya Haji basi kubali na wewe kuitwa KOLO na nyinyi kuwa MakoloWizardinhoz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekufikiaa penyeweeee eeeeeh???
Kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaaaaaaa.

byuti byuti
 
Mkuu respect nondo zimenyooka..... Zungu aje ajibu au wahuni wenzake humu jamii forum wamsaidie..
Asante Mkuu mpaka sasa sijaona Jibu la Akili kutoka kwa wana Yanga SC hapa Jamiiforums sana sana naona tu Majibu yanayodhihirisha kuwa kweli huko Yanga SC wenye Akili Timamu ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Mzee Sunday Manara ( Baba Mzazi ) wa Haji Manara.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekufikiaa penyeweeee eeeeeh???
Kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaaaaaaa.

byuti byuti
😆😆😂😂😂 hii comment yako inafaa kupelekwa kwenye jukwaa la vichekesho umeandika ugoro tupu.
 
Kila mwana yanga ana akili,ila mnyama🦁 Hana ndio maana anakaa mwituni,wamwituni wameungana kumwinda binadamu🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…