3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
NgokeKabla Mo hajawekeza Simba haya ndiyo yalikuwa maisha ya zeruzeruView attachment 2304299View attachment 2304301
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NgokeKabla Mo hajawekeza Simba haya ndiyo yalikuwa maisha ya zeruzeruView attachment 2304299View attachment 2304301
Kitu gani ulichangia hapo tff mpaka useme yenuRais Karia ni mzaliwa wa Tanga na timu yake ni Coast Union ambayo siku ya tukio ilikuwa inacheza na YANGA ya Manara.
Mwenyekiti wa Bodi ya ligi ndie Mwenyekiti wa Coast Union ya Tanga.
Na pia ukiacha Hao kuwa wapenzi wa Coast Union pia ni wapenzi wa Simba.
Sasa pia hii kamati ya maadili hii inaundwa na viongozi wa juu wa TFF hakuna budi kusoma kuwa ndio hapohapo.
Sasa mfano wake ni kusema kuwa mtoto wangu wagombane na mtoto wa Jaji na kisha mtoto wa Jaji amehumizwa vibaya sana kisha kesi inaperekwa kusikilizwa na Jaji huyohuyo.
Mtu Haoni aibu iliyocheza ni timu yake na hadharani kafungwa hapohapo anaenda kufungua kesi kwenye vyombo ambavyo yeye anasimamia.
Hao viongozi wa TFF wanasimamia Michezo kwa maslahi yao wenyewe na waondoke watuachie TFF yetu
Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Hili nalo ni swali? Aliomba kazi au alipewa kama ya ndugu zake?Kati ya simba na manara nani alimfuata mwenzake
Haji Manara ana tatizo la kisaikolojia." Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021.
Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE yanaanza.
1. Haji Manara hivi ni Wewe ndiyo umetengeneza Brand yako kama unavyojitapa Kutwa au ni Simba SC na sasa Yanga SC uliko ndiyo zimekutengenezea Brand yako kutokana na Ukubwa wa Vilabu hivi Viwili na Ushawishi wao nchini?
2. Haji Manara hivi ungekuwa ni Msemaji wa Ihefu FC au Gwambina FC una uhakika ungejulikana na ungekuwa Maarufu mpaka kuwa na hiyo Brand yako Kubwa inayokudanganya mpaka Unadharau Watu na kujiona uko juu ya Mpira wa Tanzania?
3. Haji Manara kama umesema jana kuwa unajua Siri nyingi za TFF (hasa Maadui zako Rais Karia na Katibu wa TFF Kidau ) je, kwanini hukuzitoa (hukujilipua nazo) Siku nyingi ili utusaidie Wadau wa Mpira kujua tusiyoyajua na badala yake Umeyatoa jana kwa Mtindo wa Kukomoa, Propaganda na Kulipiza Kisasi?
4. Haji Manara je, TFF (Unayoichukia zaidi) ingekuwa inakuonea ingekufungulia ilipoingia Madarakani baada ya Kufungiwa na aliyekuwa Rais wa TFF (Mwana Yanga SC) Jamal Malinzi?
5. Haji Manara bila Busara na Nguvu Kubwa ya TFF Kukulinda unadhani kwa Kosa lile Kubwa na la Jinai ulilomfanyia Mtangazaji wa Kike wa Michezo wa Clouds FM Prisca Kishamba na ile Kauli yako ya HATARI Kiusalama, Kimichezo na Kiutalii uliyoitoa dhidi ya Timu Ngeni zilizokuwa zikija Kucheza na Simba SC ( katika CAFCL na CAFCC ) kuwa wawe Makini kwani Simba SC inatumia Sumu na hata Kuua una uhakika kuwa leo hii usingefungiwa Maisha katika Medani za Soka na pengine hata Kufungiwa na Serikali?
6. Haji Manara aliyekushtaki hadi Kufungwa Kwako huko ni Uliyegombana nae Arusha Rais wa TFF Wallace Karia au ni Sekretarieti ya TFF? Je, ule Msamaha wako wa Kinafiki ulitakiwa uutoe wa Sekretarieti ya TFF au kwa Rais wa TFF Wallace Karia tena Nyumbani Kwake?
7. Haji Manara je, unajua kuwa kwa Kitendo chako cha Jana tu kusema (tena Kijeuri kabisa) kuwa Wewe bado ni Msemaji na Mhamasishaji wa Yanga SC wakati tayari Unatumikia Adhabu Kisheria kinaweza kukufanya Uongezewe Adhabu yako zaidi na sasa ikawa Kali kuliko hiyo Ndogo tu uliyopewa?
8. Haji Manara ni kwanini Matatizo yako Binafsi yakipelekea Wewe Kuadhibiwa na Mamlaka huwa unapenda Kuihusisha Klabu ya Yanga ili upate Huruma na Sapoti yao?
9. Haji Manara je, Maudhui yako ya Jana ( pamoja na Matusi, Dhihaka na Kashfa ) katika ile Press ya Jana yalikuwa ni yako Binafsi au yana Baraka za Yanga SC kwa 100%?
10. Haji Manara je, una uhakika una Washauri wazuri na kwamba Watu wengi Wanaokuzunguka Wanakupenda na Wanakutakia Kheri kama Unavyojidanganya na Kujimwambafai Kutwa?
11. Haji Manara je, ikitokea Rais wa TFF Wallace Karia akiamua Kukushtaki 'Kijinai' kama tulivyohakikishiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya TFF iliyokuhukumu kuwa Ulimtishia Maisha Rais wa TFF Karia huku ukimwambia kuwa ATAKUKOMA na UTAMUONYESHA utaendelea kuwa Salama?
Wachezaji wa Kucheza Mpira ni Kumi na Moja ( 11 ) na Mimi GENTAMYCINE nimekuuliza haya Maswali yangu Kumi na Moja ( 11 ) na nasubiria sasa Majibu yangu kutoka Kwako Haji Manara na wana Yanga SC Wenzako wote hapa JamiiForums ili nijue kama mna Akili au hamna Kabisa kama inavyojulikana tokea Uhuru wa Taifa hili la Tanzania.
Kwani ukikubali aliwadharau na kuwadhalilisha unapungukiwa nn??? Eti lugha za watoto wa mjini, poleeeeeeh sanaaa.Umeandika matapu tapu
1. Haji hakusema hivyo akihojiwa na Efm alisema hivyo akihojiwa na salama.
2. Kuhusu hoja mfu yako kusema Haji kasema Yanga hawana akili alimaanisha Yanga wanaipenda sana timu yao.
Hata mwanaume akimpenda sana mwanamke kupita kiasi anaonekana hana akili.
Bushman kama wewe huwezi kuelewa kiswahili cha watoto wa mjini.
Wasalimie Bunda vijijini
Mimi ni Tomato Sauce katika Chips.Naona nawe pia umeanza kuota mapembe after kukula ya mbuzi. Unathubutuje kusema hivyo kweli? Mods toeni huyu mtu haraka mpelekeni hata huko Ukraine akaokote machumachuma ya Mmarekani
Kama kuna ulazima wa kukubali maneno ya Haji basi kubali na wewe kuitwa KOLO na nyinyi kuwa MakoloWizardinhozKwani ukikubali aliwadharau na kuwadhalilisha unapungukiwa nn??? Eti lugha za watoto wa mjini, poleeeeeeh sanaaa.
Alishasema ni hamnazoooo, woiiiiiiih.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwasababu Nakuzalisha sana tu au?Leo ndo nimeelewa kwanini wanakuita POPOMA
Mkuu respect nondo zimenyooka..... Zungu aje ajibu au wahuni wenzake humu jamii forum wamsaidie.." Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021.
Baada ya Nukuu ( Kumbukizi ) hii sasa Maswali Kuntu ya GENTAMYCINE yanaanza.
1. Haji Manara hivi ni Wewe ndiyo umetengeneza Brand yako kama unavyojitapa Kutwa au ni Simba SC na sasa Yanga SC uliko ndiyo zimekutengenezea Brand yako kutokana na Ukubwa wa Vilabu hivi Viwili na Ushawishi wao nchini?
2. Haji Manara hivi ungekuwa ni Msemaji wa Ihefu FC au Gwambina FC una uhakika ungejulikana na ungekuwa Maarufu mpaka kuwa na hiyo Brand yako Kubwa inayokudanganya mpaka Unadharau Watu na kujiona uko juu ya Mpira wa Tanzania?
3. Haji Manara kama umesema jana kuwa unajua Siri nyingi za TFF (hasa Maadui zako Rais Karia na Katibu wa TFF Kidau ) je, kwanini hukuzitoa (hukujilipua nazo) Siku nyingi ili utusaidie Wadau wa Mpira kujua tusiyoyajua na badala yake Umeyatoa jana kwa Mtindo wa Kukomoa, Propaganda na Kulipiza Kisasi?
4. Haji Manara je, TFF (Unayoichukia zaidi) ingekuwa inakuonea ingekufungulia ilipoingia Madarakani baada ya Kufungiwa na aliyekuwa Rais wa TFF (Mwana Yanga SC) Jamal Malinzi?
5. Haji Manara bila Busara na Nguvu Kubwa ya TFF Kukulinda unadhani kwa Kosa lile Kubwa na la Jinai ulilomfanyia Mtangazaji wa Kike wa Michezo wa Clouds FM Prisca Kishamba na ile Kauli yako ya HATARI Kiusalama, Kimichezo na Kiutalii uliyoitoa dhidi ya Timu Ngeni zilizokuwa zikija Kucheza na Simba SC ( katika CAFCL na CAFCC ) kuwa wawe Makini kwani Simba SC inatumia Sumu na hata Kuua una uhakika kuwa leo hii usingefungiwa Maisha katika Medani za Soka na pengine hata Kufungiwa na Serikali?
6. Haji Manara aliyekushtaki hadi Kufungwa Kwako huko ni Uliyegombana nae Arusha Rais wa TFF Wallace Karia au ni Sekretarieti ya TFF? Je, ule Msamaha wako wa Kinafiki ulitakiwa uutoe wa Sekretarieti ya TFF au kwa Rais wa TFF Wallace Karia tena Nyumbani Kwake?
7. Haji Manara je, unajua kuwa kwa Kitendo chako cha Jana tu kusema (tena Kijeuri kabisa) kuwa Wewe bado ni Msemaji na Mhamasishaji wa Yanga SC wakati tayari Unatumikia Adhabu Kisheria kinaweza kukufanya Uongezewe Adhabu yako zaidi na sasa ikawa Kali kuliko hiyo Ndogo tu uliyopewa?
8. Haji Manara ni kwanini Matatizo yako Binafsi yakipelekea Wewe Kuadhibiwa na Mamlaka huwa unapenda Kuihusisha Klabu ya Yanga ili upate Huruma na Sapoti yao?
9. Haji Manara je, Maudhui yako ya Jana ( pamoja na Matusi, Dhihaka na Kashfa ) katika ile Press ya Jana yalikuwa ni yako Binafsi au yana Baraka za Yanga SC kwa 100%?
10. Haji Manara je, una uhakika una Washauri wazuri na kwamba Watu wengi Wanaokuzunguka Wanakupenda na Wanakutakia Kheri kama Unavyojidanganya na Kujimwambafai Kutwa?
11. Haji Manara je, ikitokea Rais wa TFF Wallace Karia akiamua Kukushtaki 'Kijinai' kama tulivyohakikishiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya TFF iliyokuhukumu kuwa Ulimtishia Maisha Rais wa TFF Karia huku ukimwambia kuwa ATAKUKOMA na UTAMUONYESHA utaendelea kuwa Salama?
Wachezaji wa Kucheza Mpira ni Kumi na Moja ( 11 ) na Mimi GENTAMYCINE nimekuuliza haya Maswali yangu Kumi na Moja ( 11 ) na nasubiria sasa Majibu yangu kutoka Kwako Haji Manara na wana Yanga SC Wenzako wote hapa JamiiForums ili nijue kama mna Akili au hamna Kabisa kama inavyojulikana tokea Uhuru wa Taifa hili la Tanzania.
Angesema na na makamu wa raisi na Yanga nzima ,ningeelewa.Ikiwa hivyo basi kila mwana yanga tutasema anampa kichwa manara. Sio sahih kuweka dhahania eti kisa kiongoz fulan ni mwanachama bas anampa jeuri.
Wao pia wanajua ishu za mipira hazingiliw na siasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekufikiaa penyeweeee eeeeeh???Kama kuna ulazima wa kukubali maneno ya Haji basi kubali na wewe kuitwa KOLO na nyinyi kuwa MakoloWizardinhoz
Asante Mkuu mpaka sasa sijaona Jibu la Akili kutoka kwa wana Yanga SC hapa Jamiiforums sana sana naona tu Majibu yanayodhihirisha kuwa kweli huko Yanga SC wenye Akili Timamu ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Mzee Sunday Manara ( Baba Mzazi ) wa Haji Manara.Mkuu respect nondo zimenyooka..... Zungu aje ajibu au wahuni wenzake humu jamii forum wamsaidie..
😆😆😂😂😂 hii comment yako inafaa kupelekwa kwenye jukwaa la vichekesho umeandika ugoro tupu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] imekufikiaa penyeweeee eeeeeh???
Kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaaaaaaa.
byuti byuti
Kila mwana yanga ana akili,ila mnyama🦁 Hana ndio maana anakaa mwituni,wamwituni wameungana kumwinda binadamu🏃" Wenye Akili Yanga SC nzima ni Watu Wawili tu Rais Mstaafu Kikwete na Baba yangu Mzazi Mzee Manara waliobakia wote hawana," alisema Haji Manara alipokuwa akihojiwa na EFM Radio Kipindi cha Sports Headquarters mwaka 2021.