Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

Haji Manara popote ulipo au ukisaidiwa na Yanga SC Wenzako mkinijibu haya Maswali yangu Muhimu nitashukuru

Anha kumbe ndo maana
Na zidi connect ●●_●
Ukiona GENTAMYCINE nasema Jambo hapa Jamiiforums na tena najimini nalo jua nina uhakika nalo hivyo 'Dimwits' kama akina Flano wala hawanisumbui na hawanitishi pamoja na kutaka kuonyesha Kwangu kuwa wako Kitengoni ( TISS ) huko.
 
Nchi hii ina ujingaujinga sana
Kuna watu wanapenda kuendekeza
Ujingaujinga.....
Lopolopo sshvi kutwa kupewa coverage

Ova
 
Naanza kuamini yale maneno ya manara ni sahihi ukimtoa Kikwete na Baba manara mashabiki wote wa yanga hawana akili haya maneno aliyasema akiwa simba lakini kwanini mashabiki wa Yanga hawakuchukia kwakuwa ni kweli hawana akili
Jana kawatukana tena kuwaambia mashabiki wote wa Yanga wana vinyesi na wao walivyokuwa mazuzu bado wapo kimya sisi tunachofurahia manara japo yupo Yanga ila anaendelea kuwatania huko huko vinyesi Fc
 
Hakuna amani itakayovunjika sababu ya manara. Labda amani ya uwanjani sio ya nchi.
 
1. Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

2. Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba

3. Waziri 'yupo yupo' Mzee George Huruma Mkuchika

4. Naibu Waziri wa Kilimo Antony Mavunde

5. Naibu Waziri wa Ardhi Ridhiwani Kikwete

6. Waziri wa TAMISEMI Bashungwa

7. Rtd. CDF Gen. Mabeyo

GENTAMYCINE nalisema hili mapema hivi na kwa nia njema tu kwani tayari kama Kawaida na Maono niliyobarikiwa nayo na Mwenyezi Mungu naona kuna HATARI Kubwa inakuja mbeleni kama Watajwa hawa hawatokaa pembeni ya hizi Jeuri zote za Mfungwa na Mdaiwa Haji Manara.

Msije kulaumu tu sikuwashauri sawa?
Uwe makini sana kijana
 
Haji manara ni maarufu toka anazaliwa,Haji alipozaliwa magazeti yaliandika kuhusu Sunday Manara kupata mtoto,

Nacomment kama mwana JF na sio kwa kushabikia team yeyote au mtu yeyote.

Hahahahahaha kuwa serious ni jambo ambalo watu wengi linawashinda. Kwamba hivi vilabu viwili havihusiani na umaarufu alioupata Manara, na kwamba yeye ndiye alieenda kuvikuza?[emoji23]
 
Umeandika matapu tapu

1. Haji hakusema hivyo akihojiwa na Efm alisema hivyo akihojiwa na salama.

2. Kuhusu hoja mfu yako kusema Haji kasema Yanga hawana akili alimaanisha Yanga wanaipenda sana timu yao.

Hata mwanaume akimpenda sana mwanamke kupita kiasi anaonekana hana akili.

Bushman kama wewe huwezi kuelewa kiswahili cha watoto wa mjini.

Wasalimie Bunda vijijini
Naona anajaribu kukipaka mafuta kiswahili mlichotukaniwa.
 
Hahahahahaha kuwa serious ni jambo ambalo watu wengi linawashinda. Kwamba hivi vilabu viwili havihusiani na umaarufu alioupata Manara, na kwamba yeye ndiye alieenda kuvikuza?[emoji23]
Kua na akili ya uelewa basi,kuna sehemu nimesema kua hivyo vilabu viwili havijamuongezea umaarufu Haji? Ni kweli umaarufu wa Haji umeongezeka sio kama alivyokua mwanzo,

Kuna sehemu nimesema kua Haji ndio kaenda kuvikuza hivyo vilabu?
 
Umeandika matapu tapu

1. Haji hakusema hivyo akihojiwa na Efm alisema hivyo akihojiwa na salama.

2. Kuhusu hoja mfu yako kusema Haji kasema Yanga hawana akili alimaanisha Yanga wanaipenda sana timu yao.

Hata mwanaume akimpenda sana mwanamke kupita kiasi anaonekana hana akili.

Bushman kama wewe huwezi kuelewa kiswahili cha watoto wa mjini.

Wasalimie Bunda vijijini
Unataka sasa kusema Alimaanisha Sunday na Kikwete hawaipendi Yanga Kwa kuwa wao Wana akili.
 
Mie nadhan huyu mwehu bora kumpotezea tu kuliko hii promo anayoipata

Back
Top Bottom