Hali ya ndugu yangu imezidi kuwa mbaya naombeni msaada wa tiba

Mh! Mbona wengine wanatumia hawapo hivi
bangi mbaya kuna jamaa yetu baada ya kuvuta tu tukaona anashika kichwa na kupiga kelele jamani nisaidieni ubongo una dondoka huku akitimua mbio .kilichomuokoa alikimbia na kujitupa mtoni na kujimwagia maji kichwani akawa sawa bangi kama una kichwa chepesi sio nzuri
 
Duh! Hatari sana hiyo tutamsihi aache baada ya kupona
 
Ukiwa unajifunza anza na dozi ndogo una vuta kidogo then unaongeza dozi kidogo kidogo.
 
Sio kweli.
Tatizo ni huyo kijana wenu Bado anaendelea kuvuta bangi
Hizo dawa mgonjwa akishatumia hizo dawa hatakiwi tena atumie mihadarati ya ainayoyote maisha yake yote
Huyu sasa hilo swala sidhani kama ataliweza
 
Wangapi waliwahi kupona kwa hiyo dawa?
Chlorpromazine is a typical antipsychotic medication primarily used to treat psychiatric disorders such as schizophrenia

Chlorpromazine, when it was discovered,ndipo psychiatry ikaanza rasmi.

Wangapi wametibiwa?
Well,hapa katika familia yangu watu wameitafuna hiyo chlorpromazine.
 
Guys huyu kaka yangu aliyechanganyikiwa amemdhuru mama pamoja na baba kawajeruhi vibaya jamani naombeni mwenye kujua mtaalamu plz kwa hapa tulipofikia anaweza hata kumuua mtu akishika kisu.
Mkuu pole sana kwa kwa maradhi ya kaka yako hebu nitafute mimi ili tuweze kumtibia apate kupona maradhi yake wamesha mroga maaduwi zake auguwe pole.
 
Binadamu anaenda mpaka anaona mwisho wake , huko mbele ni kiza lazima achizike..Haya kamaliza chuo hatua inayofuata ni kazi ila anaona kiza kupata hiyo kazi ,watu wengi duniani mioyo yao haina uvumilivu , kiuhalisia dunia ni ngumu sana ...Nzuri pale unapokuwa mtoto tu basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…