Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
Naomba nidm pleasekweli ushabiki unafanana sana na uzwazwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nidm pleasekweli ushabiki unafanana sana na uzwazwa
Tatizo vichwa vyenu ni vigumu sana.Hivi msemaji wa timu ya Brazili ya River Plate, aonekana anatangaza biashara za Boca junior, unachinjwa siku hiyohiyo.
Kama angechinjwa msemaji wa Yanga, angethubutu kutangaza biashara za MO Dewji. Angeshazikwa.
Mkataba wake na simba unasemaje?Kwa muda mrefu Haji amekuwa akijihusisha na GSM kama one of the brand ambassador na pia amekuwa brand ambassador wa wafadhili wa azam. Tatizo ni kwamba kuwa ambassador huko kwingine kunamnyima yeye nafasi ya kutangaza bidhaa za mtu ambaye amewekeza pesa nyingi pale Simba kwa sababu za kimikataba na hao wengine.
Sasa haiingii akilini, muajiriwa wasimba anashindwa kutangaza bidhaa za mdhamini wa Simba, ila anaenda kutangaza bidhaa za madhamini wa Yanga!
Hivi ishawahi kufikiria leo Hasan bumbuli awe na mkataba wa kibiashara na Mo dewji kutangaza bidhaa zake na mashabiki wa yanga wamuangalie tu?
Linapokuja swala la mshahara, Simba wanampa laki Saba huku hao wengine wanampa wakimpa zaidi ya million 5 Sasa unafikiri huyo anayempa million 5 akija kumuomba taarifa za huyu anayetoa laki 7 atakataa?? Ni halali viongozi wa Simba kuwa na mashaka na haji manara.
Unafiki haujawahi kumuacha mtu salama, leo POPOMA kamgeuka Haji!!. Juzi katoka kumtetea na kuwaponda Shafii, Prisca na Waandishi waliotukanwa na hajiMkuu All- Rounder, hii si ni timu yako, na Haji ulikuwa ukimsapoti sana?
Unaweza tofautisha GSM na yanga saiv?Tatizo vichwa vyenu ni vigumu sana.
Gsm wanaimiliki yanga ?, Big No, GSM na Yanga ni separate entities , ukiishtaki Yanga umeishtaki Yanga na ukiishtaki GSM umeishtaki GSM.
METL na Simba ni kitu kimoja ?, BiG No, METL na Simba ni separate entities kama GSM na Yanga.
Haji ni mfanyakazi/muajiriwa wa entity gani ? , SIMBA, sasa kama ni hivyo ni kwanini muajiriwa wa Simba ashindwe kufanya kazi na GSM ?, Jibu, Hakuna sababu yeyote ile ya msingi zaidi ya ujinga au chuki.
Je, kwanini hamlalamiki kuhusu Azam? utasikia kuna utofauti wa Azam timu na Azam Kampuni , sasa kama kwa Azam ni tofauti kwanini kwa GSM hamuoni huo utofauti!!!
Superstar wa Barcelona Lionel Messi ana mkataba na Adidas , timu anayovaa jezi yake na kuiwakilisha kila leo, wakati huo huo Barcelona ina mkataba na Nike, Mbona hatujawahi kusikia Nike wanasema Messi anawahujumu !!
Ni ushamba, ujinga na roho mbaya tu kwa manara
Inabidi apate life ban, ila POPOMA ana ID kama mia hiviHuyu GENTAMYCINE kila mwezi lazima apigwe Ban
Sheikh kwa tz milioni nne unaiona ndogo? Kubwabwaja thamani yake ni milioni moja tuMilioni 4 kisha usifanye kazi za nje za kipato cha ziada huo ni utani, masiakhala na dhiaka.
Atoke simba aende huko kwenye umuhimu, simpoEndorsement ndio muhimu kuliko Mshahara!!
Nenda kafanye kazi Cocacola na Pepsi halafu wakigundua subiri matokeo yake.Tatizo vichwa vyenu ni vigumu sana.
Gsm wanaimiliki yanga ?, Big No, GSM na Yanga ni separate entities , ukiishtaki Yanga umeishtaki Yanga na ukiishtaki GSM umeishtaki GSM.
METL na Simba ni kitu kimoja ?, BiG No, METL na Simba ni separate entities kama GSM na Yanga.
Haji ni mfanyakazi/muajiriwa wa entity gani ? , SIMBA, sasa kama ni hivyo ni kwanini muajiriwa wa Simba ashindwe kufanya kazi na GSM ?, Jibu, Hakuna sababu yeyote ile ya msingi zaidi ya ujinga au chuki.
Je, kwanini hamlalamiki kuhusu Azam? utasikia kuna utofauti wa Azam timu na Azam Kampuni , sasa kama kwa Azam ni tofauti kwanini kwa GSM hamuoni huo utofauti!!!
Superstar wa Barcelona Lionel Messi ana mkataba na Adidas , timu anayovaa jezi yake na kuiwakilisha kila leo, wakati huo huo Barcelona ina mkataba na Nike, Mbona hatujawahi kusikia Nike wanasema Messi anawahujumu !!
Ni ushamba, ujinga na roho mbaya tu kwa manara
Manara Professionalism ya kufanya mambo ki professional anaipata wapi?Kwa upande wangu regardless na tuhuma za Manara kwa Barbara, Manara njia aliyoitumia amekosea sana. It is very unprofessional kuleta mambo kama yale public halafu unarecord na voice note kabisa, kwa mtu wa caliber kama yake ule ni utoto na uswahili.
Nakumbuka hyo chief!!Shafii alishamuonya akamwambia kwajinsi simba ilivyo sasa ni lazima haji abadilike au atoke
Wapumbavu humu wengi..
Kocha wa Liverpool ana Mkataba na Adidas
Licha ya Liverpool kuwa na Mkataba na Nike
Kuna mipumbavu humu mingi haijui kazi kuongea utumbo
Atoke simba aende huko kwenye umuhimu, simpo
Nadhani shule yake pia ni ndogo sana! Hebu mtu anayemfahamu Manara atupie cv yake hapa!!Kwa upande wangu regardless na tuhuma za Manara kwa Barbara, Manara njia aliyoitumia amekosea sana. It is very unprofessional kuleta mambo kama yale public halafu unarecord na voice note kabisa, kwa mtu wa caliber kama yake ule ni utoto na uswahili.
Sio hawapendi. Kila taasisi ina misingi na taratibu zake. Uswahili sio mzuri tunataka mabadiliko afu hatufuati taratibu za kusimamia taasisi kwenye njia tunayoitaka. Yaan anataka kuitumia simba kama chanzo cha kupata umaarufu zaidi ili apige dili zake afu ndani ya club hataki.mkataba..? Aibu gani hiyo. Tufikirie kwa mapanaKinachoonekana wazi ni kuwa, viongozi wa Simba wakiongozwa na MO na bodi nzima, hawapendezwi na Manara kufanya kazi na GSM pamoja na Azam Ltd.
Na hicho ndicho kimemponza.
Manara alichokosea tu ni kuwa kamkaripia CEO wake. Na kumtishia kuwa atamuondoa Simba. Sawa, ataondoka lakini si kwa matakwa ya Manara.
Ngoja tuone, how will the sagga end!.
Simba tukifungwa, ndo zogo litakuwa tamu balaa.
Uajiriwe na coca cola afu hapo hapo uwe unatangaza Pepsi aisee huyu wamfute kibarua na aisikae karibu na benchi la ufundi.Kwa muda mrefu Haji amekuwa akijihusisha na GSM kama one of the brand ambassador na pia amekuwa brand ambassador wa wafadhili wa azam. Tatizo ni kwamba kuwa ambassador huko kwingine kunamnyima yeye nafasi ya kutangaza bidhaa za mtu ambaye amewekeza pesa nyingi pale Simba kwa sababu za kimikataba na hao wengine.