Ni kweli,kuna dosari kubwa kwenye utendaji au nkataba wa manara na simba

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Bado manara hata km atatoka simba.
Bado ataendelea kupata mikataba mingne mikubwa.Kwa sabab manara kaz yake ya afisa mahusiano anaiweza sana.
Hata yanga tulivyokuwa na msemaj jerry muro hauwez kufananisha uhamasishaj wake kuwa upo sawa na msemaj wet wa sasa.
Tegemea kumuona manara akizid kuwa juu.
 
Ila akiondoka Simba mjiandae kuoga shombo lake. Huyu jamaa kwa shombo hafai.
Hilo shombo nadhani limewashtua hata hao swahiba wake wa gsm! Kwa tabia hiyo hawawezi kumwamini kabisa!! Watu wazima wanajua kuwa nyoka ni nyoka tu, kazi yake ni kuuma! Kama leo kamuuma adui yako kuna siku ukiwa kwenye 18 zake atakuuma tu!! Hakuna atakayempa nafasi kwa axilimia 100!!
 
Manara masikini amesahau alikotoka na kujiona yeye ni kila kitu Simba kwa sasa, hafai kuwa muajiriwa popote pale hana ethics kabisa. Ila mwandishi umemchapa hasa. Big up.
 
Mpira wa bongo kweli kituko, kwahiyo mnataka kuniambia simba bila Manara itatetereka? Nchi haishi vituko hii no wander soka letu haliendelei mbele
Yaani wamesahau huko walikotoka. Manara kaanza lini kuibwabwajia simba jamani?. Si juzi tu hapo?. Lakini je kabla ya manara simba ilikuweje?.

Wanaompa kichwa manara ni hao watoto wa juzi wasiojua mpira umeanzia wapi
 
Manara Hana heshima kwa viongozi wake umaarufu unamzuzua.

Pia kama.vipi aachane na hao Simba Kuna maisha nje ya Simba a stick with his mission sio organization.

Kama GSM wanampa pesa ndefu kuliko Simba achana na Simba maana mwisho wa siku Ni pesa .
Na GSM wanampa pesa ndefu sababu yupo Simba,kwa nn wasingempa Tobias kifaru?
 
Yaani wamesahau huko walikotoka. Manara kaanza lini kuibwabwajia simba jamani?. Si juzi tu hapo?. Lakini je kabla ya manara simba ilikuweje?.

Wanaompa kichwa manara ni hao watoto wa juzi wasiojua mpira umeanzia wapi
Halafu hawashangaI kwanini hayo makampuni yanampa endorsement baada ya kuanza kufanya kazi simba hawakumpa enzi zile anagombea udiwqni CCM au alipokua mishen town Kariakoo?

Aondoke Simba halafu aone
 
Unajua kuwa mbumbumbu ni kitu kibaya sana.Haji ameajiriwa kuwa msemaj wa klab ya simba.Na kwa kaz hyo ya usemaj wa simba hakuna anaeweza kumlaum manara hata kdogo.Anaifanyakaz hyo kwa moyo wake wote na kwa mapenz yake yote.
Hili suala la ubaloz wa makampun mengne wao simba hauwahusu.Cha muhim waangalie je?Haji anatimiza majukum yake ipasavyo?
Mhind hapa anaumia na instagram ya manara tu anaona anapga hela.
KIKUBWA MANARA AONGEZEWE MSHAHARA ANAFANYAKAZ NGUM NA YA HATARI KWA USALAMA WAKE.
 
Uliuona mkataba wa Simba na Manara ?
 
Ila mnamlaumu manara wakti anasema waliofujisha clipu Ni bvrbrbd
 
Simba was born 1936, Utopolo mdebwedo 1935.
 
Huwez mlipa manara 4m halaf umzuie asifanye kaz na kampun zingne...manara ni brand sasa hiv..ukitaka umnunue manara kwa style hyo labda uumpe 10m monthly or more...

Manara anaijua thaman yake
Kama ni brand mwambie atoke Simba uone...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…