Makampuni yaliyompa endorsement Manara yapo kwake kwasabau ya Simba na si vinginevyo, wanajua hawawezi kuwa mbele ila wanatumia mgongo wa Manara kufanya biashara na audiance ya Simba. Na Manara nje ya Simba hakuna matangazo atapata.
 
Hawa Wekundu wako kama mk*n#u, wamejaa wivu, uswahili, roho mbaya na kutakiana mabaya, Manara yuko sawa kabisa, ila kakutana na mazezeta hapo..
 
Simba na yanga zilipofika sasa wala hazihitaji kelele za wasemaji ili zipate tension.Hizo club sio level za kua na wasemaji wabwatukaji ovyo bali zinachokiitaji kwa sasa ni pesa pesa pesa.Hizo kelele za wasemaji zinaweza zikafanywa na tangazo moja tu kwenye media na nchi nzima ikajua.Manara akitoka simba haizidi miezi 3 hutamsikia tena kama ambavyo yuko simba ila anasikikaga kabla ya mechi kwa tambo za hapa na pale za pira biriani na baada ya mechi simba ikiwa imeshinda ila ikifungwa nayeye ananywea.Uwezo wa simba uwanjani ndio unaomfanya manara aonekane mtu mkubwa tofauti na hapo hakuna kitu.Kwahiyo tuache kumkuza bila uhalisia.
 
Manara bila simba hana umaarufu wowote zaidi ya jamaa fulani tu, aondoke simba aone nani ni maarufu. Simba imbeba vya kutosha ila habebeki kwa sasa anajiita LIDUDE fulani...
 
Sasa analia lia nini si aache kaz ya usemaji maana ni ya kinyonyaji.

Afu achen kumpa kichwa manara kakosea sanaa
Kazi ya usemaji anaisemea magotini sio mdomoni maana hakuwa na kichwa ndio wanampa sasa kichwa eti
 
Haji ni mwajiriwa wa Simba so ni lazima atangaze bidhaa za wadhamini wetu kama mo extra, sportpesa na wengine hata kama Hana mkataba. Nenda kwenye page ya bumbuli ukaone anavyopost bidhaa za GSM ingawa Hana mkataba nao lakini ndiyo wadhamini wa club.
Huo ulazima unautoa wapi? Hata wachezaji wanatangaza hao sponsors wa club kupitia jezi zao tu full stop...page yake ni yake binafsi.
 
Tusijidanganye Haji anaweza kwenda azam na akaipaisha vilevile. Ni msemaji mwenye kipaji chake.



ni kweli ana kipaji cha kuwa mshereheshaji .. ila unasahau wapenz wa mpira hawamfat mtu... akienda Azam haiwez paa kwasababu haji ataipamba bali Azam itapaa ikianza kupata mafanikio uwanjani..

vinginevyo hata azikiri utupu haiwez kujaza uwanja kisa manara kaipamba . kuna wachezaj vipenz wa watu wameondoka team zao na bado team zipo na fanbase yake ile ile... Madrid na Man utd zishaondokewa na wachezaji vipenz vya watu.. but either hao wachezaj they are history now ama bado wapo lakin hawajaathir fanbase ya team

hao washabiki wa simba ambao pia ni fans wa manara walianza kuwa mashabiki wa simba kabla ya kuwa mashabiki wa manara
 
Kupanga ni kuchagua,angeacha kazi bila kelele akajiheshimisha hata huko kwingine. Hiki anachokifanya kinamvunjia heshima hata huko Azam na GSM
Kweli kabisa uropokaji kwenye sakata hili ndio unaweza kumponza. Ulimi ni kiungo kidogo sana, lakini ukiteleza kidogo tu kwenye kauli unaweza kuzua balaa kubwa sana.
 
Ila akiondoka Simba mjiandae kuoga shombo lake. Huyu jamaa kwa shombo hafai.
Simba toka imeanzishwa imeoga shombo ngapi ?

Unafikiri yeye kutoa shombo itakuwa hasara kwa simba au kwake yeye mwenyewe ?
 
Unasema milioni nane as if wewe ndiye unayelipa mishahara.

Hapo utopolo kuna mchezaji walau anayelipwa millioni moja tu ?
 
Huwez mlipa manara 4m halaf umzuie asifanye kaz na kampun zingne...manara ni brand sasa hiv..ukitaka umnunue manara kwa style hyo labda uumpe 10m monthly or more...

Manara anaijua thaman yake
Basi ngoja atoke Simba aendeleze brand yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…