Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hichowanasemaga umuhimu wa mtu unaonekana pale anapokuwa hayupo, muda utatuambia kila kitu
Hawa Wekundu wako kama mk*n#u, wamejaa wivu, uswahili, roho mbaya na kutakiana mabaya, Manara yuko sawa kabisa, ila kakutana na mazezeta hapo..Mkataba huo wa milioni 4 ungempunguzia sana mapato Manara na kumfunga.
Manara alitaka kupewa mkataba wa kizamani na hovyo kabisa, yani hata account ya instagram ya manara ingekuwa chini ya kina Mo, kwa umaarufu wa Manara na watu wanavyomfatilia wangeigeuza account kuwa sehemu ya kujitangazia bure matangazo yao wakati mmiliki ni manara,
Mkataba pia ungemfunga manara kutoweza kusaini dili lolote nje ya usemaji wa club simba, yani awe i msemaji tu, pidi ikitokea dili basi wazee wa mgao inabidi wale jasho lake
Huu mkataba ni wa kizamani sana na umekaa kufungiana ridhiki tu, kwa wenzetu huko nje mtu anaweza kufanya kazi kampuni ya NIKE wakati mdhamini wa jezi ya timu anayofanyia kazi ni ADIDAS ambao ni wahasimu wakubwa wa Nike na wala hakuna migongano, hii yote ni kumfungulia mtu fursa za kimaendeleo na kiuchumi.
Tatzo wivu tu a roho za kwanini haji apate mafanikio nje ya kuisemea simba? Angalia mfano tu mdogo haji manara ana nyumba yake,magari yake, na mali nyingine, hii ni kutokana na mikataba minono kutoka kwa asas, gsm na azam ambao pasi na shaka wanampa pesa za kutosha manara, pengine hata ile faini ya milioni 5 aliyoambiwa aende kuilipa tff alipewa na hayo makkampuni mengine ili atunze brand yake, mfano mwengine angalia siku ya harusi ya haji wale GSM walifanya kufuru kumtunza haji.
Manara kauppiga mwingi hapa, kakataa kubanwa kweye mtego wa kuifanyia kazi simba pekee kitu ambacho kingembana awe anatangaza bidhaa za MO pekee ama ndugu zake, Manara ana familia na inamtegemea kuna kipindi atatoka simba ila maisha yake mke wake na wanae bado watabaki kumtegemea, kwahio ni haki yake kutafuta deals nje ya simba ili kuongeza kipato na kuweza kusimama hata pakle akiacha kuitegemea simba, so hongera kwake manara.
HITIMISHO: Simba wakae upya, utauzi wa hili jambo sio kumfukuza manara bali wanaweza kurekebisha kasoro za mkataba
Simba na yanga zilipofika sasa wala hazihitaji kelele za wasemaji ili zipate tension.Hizo club sio level za kua na wasemaji wabwatukaji ovyo bali zinachokiitaji kwa sasa ni pesa pesa pesa.Hizo kelele za wasemaji zinaweza zikafanywa na tangazo moja tu kwenye media na nchi nzima ikajua.Manara akitoka simba haizidi miezi 3 hutamsikia tena kama ambavyo yuko simba ila anasikikaga kabla ya mechi kwa tambo za hapa na pale za pira biriani na baada ya mechi simba ikiwa imeshinda ila ikifungwa nayeye ananywea.Uwezo wa simba uwanjani ndio unaomfanya manara aonekane mtu mkubwa tofauti na hapo hakuna kitu.Kwahiyo tuache kumkuza bila uhalisia.Bado manara hata km atatoka simba.
Bado ataendelea kupata mikataba mingne mikubwa.Kwa sabab manara kaz yake ya afisa mahusiano anaiweza sana.
Hata yanga tulivyokuwa na msemaj jerry muro hauwez kufananisha uhamasishaj wake kuwa upo sawa na msemaj wet wa sasa.
Tegemea kumuona manara akizid kuwa juu.
masharti ya kutofanya kazi na kampuni yoyote zaidi ya Simba.Unajua huo mkataba unamasharti yepi?
Duuu! Hadi zakaria kaongea hayo ndugu haji atatoka kabla ya babra na kuthibitisha hili angalia kati ya hawa wawili nani yupo kigoma
Manara bila simba hana umaarufu wowote zaidi ya jamaa fulani tu, aondoke simba aone nani ni maarufu. Simba imbeba vya kutosha ila habebeki kwa sasa anajiita LIDUDE fulani...Mkataba huo wa milioni 4 ungempunguzia sana mapato Manara na kumfunga.
Manara alitaka kupewa mkataba wa kizamani na hovyo kabisa, yani hata account ya instagram ya manara ingekuwa chini ya kina Mo, kwa umaarufu wa Manara na watu wanavyomfatilia wangeigeuza account kuwa sehemu ya kujitangazia bure matangazo yao wakati mmiliki ni manara,
Mkataba pia ungemfunga manara kutoweza kusaini dili lolote nje ya usemaji wa club simba, yani awe i msemaji tu, pidi ikitokea dili basi wazee wa mgao inabidi wale jasho lake
Huu mkataba ni wa kizamani sana na umekaa kufungiana ridhiki tu, kwa wenzetu huko nje mtu anaweza kufanya kazi kampuni ya NIKE wakati mdhamini wa jezi ya timu anayofanyia kazi ni ADIDAS ambao ni wahasimu wakubwa wa Nike na wala hakuna migongano, hii yote ni kumfungulia mtu fursa za kimaendeleo na kiuchumi.
Tatzo wivu tu a roho za kwanini haji apate mafanikio nje ya kuisemea simba? Angalia mfano tu mdogo haji manara ana nyumba yake,magari yake, na mali nyingine, hii ni kutokana na mikataba minono kutoka kwa asas, gsm na azam ambao pasi na shaka wanampa pesa za kutosha manara, pengine hata ile faini ya milioni 5 aliyoambiwa aende kuilipa tff alipewa na hayo makkampuni mengine ili atunze brand yake, mfano mwengine angalia siku ya harusi ya haji wale GSM walifanya kufuru kumtunza haji.
Manara kauppiga mwingi hapa, kakataa kubanwa kweye mtego wa kuifanyia kazi simba pekee kitu ambacho kingembana awe anatangaza bidhaa za MO pekee ama ndugu zake, Manara ana familia na inamtegemea kuna kipindi atatoka simba ila maisha yake mke wake na wanae bado watabaki kumtegemea, kwahio ni haki yake kutafuta deals nje ya simba ili kuongeza kipato na kuweza kusimama hata pakle akiacha kuitegemea simba, so hongera kwake manara.
HITIMISHO: Simba wakae upya, utauzi wa hili jambo sio kumfukuza manara bali wanaweza kurekebisha kasoro za mkataba
Kazi ya usemaji anaisemea magotini sio mdomoni maana hakuwa na kichwa ndio wanampa sasa kichwa etiSasa analia lia nini si aache kaz ya usemaji maana ni ya kinyonyaji.
Afu achen kumpa kichwa manara kakosea sanaa
Abadilike sana...Tusijidanganye Haji anaweza kwenda azam na akaipaisha vilevile. Ni msemaji mwenye kipaji chake.
Huo ulazima unautoa wapi? Hata wachezaji wanatangaza hao sponsors wa club kupitia jezi zao tu full stop...page yake ni yake binafsi.Haji ni mwajiriwa wa Simba so ni lazima atangaze bidhaa za wadhamini wetu kama mo extra, sportpesa na wengine hata kama Hana mkataba. Nenda kwenye page ya bumbuli ukaone anavyopost bidhaa za GSM ingawa Hana mkataba nao lakini ndiyo wadhamini wa club.
Tusijidanganye Haji anaweza kwenda azam na akaipaisha vilevile. Ni msemaji mwenye kipaji chake.
wanasemaga umuhimu wa mtu unaonekana pale anapokuwa hayupo, muda utatuambia kila kitu
Haji baba jeni mzee.Huyo Mhaini hana Issue.
Unakuwa somjo somjoAthari zakukulia maeneo kama karia koo
Usishangae
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa uropokaji kwenye sakata hili ndio unaweza kumponza. Ulimi ni kiungo kidogo sana, lakini ukiteleza kidogo tu kwenye kauli unaweza kuzua balaa kubwa sana.Kupanga ni kuchagua,angeacha kazi bila kelele akajiheshimisha hata huko kwingine. Hiki anachokifanya kinamvunjia heshima hata huko Azam na GSM
Simba toka imeanzishwa imeoga shombo ngapi ?Ila akiondoka Simba mjiandae kuoga shombo lake. Huyu jamaa kwa shombo hafai.
Unasema milioni nane as if wewe ndiye unayelipa mishahara.Hanspope aache unafiki milioni4 pesa gani walau milioni8 tuwe wakweli Simba ya Manara ni Simba tofauti sana, thamini kazi ya Manara, mnaona wivu thamani anayopata huko nje ndio mnajenga hisia za kiutopolo. Manara hata Yanga itamfaa tu maana kaishi ndani ya Yanga maish yake yote.
Umejuaje kama kaivujisha Barbra ?voice note alimtumia barbra...then barbra akaivujisha publicly.
Basi ngoja atoke Simba aendeleze brand yakeHuwez mlipa manara 4m halaf umzuie asifanye kaz na kampun zingne...manara ni brand sasa hiv..ukitaka umnunue manara kwa style hyo labda uumpe 10m monthly or more...
Manara anaijua thaman yake
Kwa hiyo ume mu unfollow ili kumtisha !!??Nishafanya yangu kweny page ya manara insta View attachment 1865202View attachment 1865203View attachment 1865204