The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Hakuna mwenye ushahidi, ila wanamshuku kwamba anauza Siri zaa club. Hivi wewe mtu anakulipa laki 7 na mwingine anampa million 4,. Huyu wa million 4 akiombwa Siri zaa club hawezi kumpa kweli? Then watu wanaunganisha na mienendo ya Haji na hao GSM then Wana conclude kuwa anaweza kuwa anawasaliti.Amnaaa haji manara
Amnaaaa haji manara so m2 mwnye makosa 7bu Simba anfnya kaz bila mkataba n kuus kuwa ambassador kW GSM n azam haifanyii manara atoe sir z simbaa....
Lakini pia wewe unauhakika gani kama anasaliti au hasaliti club wakiwa kwenye mahusiano ya kimikataba na GSM?
Ili kulisolve Hilo haji achague upande mmoja.