Kwa muda mrefu haji amekuwa akijihusisha na GSM kama one of the brand ambassador na pia amekuwa brand ambassador wa wafadhili wa azam. Tatizo ni kwamba kuwa ambassador huko kwingine kunamnyima yeye nafasi ya kutangaza bidhaa za mtu ambaye amewekeza pesa nyingi pale Simba kwa sababu za kimikataba na hao wengine.
Sasa haiongii akilini, muajiriwa wasimba anashindwa kutangaza bidhaa za mdhamini wa Simba, ila anaenda kutangaza bidhaa za madhamini wa Yanga!!!!
Hivi ishawahi kufikiria Leo Hasan bumbuli awe na mkataba wa kibiashara na Mo dewji kutangaza bidhaa zake na mashabiki wa yanga wamuangalie tu?
Linapokuja swala la mshahara, Simba wanampa laki Saba huku hao wengine wanampa wakimpa zaidi ya million 5 Sasa unafikiri huyo anayempa million 5 akija kumuomba taarifa za huyu anayetoa laki 7 atakataa?? Ni halali viongozi wa Simba kuwa na mashaka na haji manara.