Alichonikera ni kwenda kwenye mitandao ya kijamii yakati sisi mashabiki wala hatujui kama kuna ugomvi kati yake na bosi zake. Kwa ukweli hakukua na haja angemalizana huko huko tu. Nadhani timu ya simba inawafundisha ethics wachezaji tu bila ya kuwafundisha na hawa watendaje. Alichokifanya sio sahihi wala hakifuati misingi ya kisheria za kazi kwakweli. Sio mtu mzuri wa kufanya nae kazi au biashara ya aina yoyote kwakweli. Nna wasi wasi hata kuna siku atagombana na mkewe halafu aje huku mitandaoni kulalamika. Hata akiomba msamaha atafutiwe kazi nyengine ndogo ndogo afanye, zisizohusu moja kwa moja masuala ya uomgozi, amefeli sana