The real Daniel
JF-Expert Member
- Jan 5, 2017
- 2,117
- 7,899
Hakuna mwenye ushahidi, ila wanamshuku kwamba anauza Siri zaa club. Hivi wewe mtu anakulipa laki 7 na mwingine anampa million 4,. Huyu wa million 4 akiombwa Siri zaa club hawezi kumpa kweli? Then watu wanaunganisha na mienendo ya Haji na hao GSM then Wana conclude kuwa anaweza kuwa anawasaliti.Amnaaa haji manara
Amnaaaa haji manara so m2 mwnye makosa 7bu Simba anfnya kaz bila mkataba n kuus kuwa ambassador kW GSM n azam haifanyii manara atoe sir z simbaa....
Muone huyu, punguza povu we babu, unajigeuza msemaji wa Manara sio?!Wapumbavu humu wengi..
Kocha wa Liverpool ana Mkataba na Adidas
Licha ya Liverpool kuwa na Mkataba na Nike
Kuna mipumbavu humu mingi haijui kazi kuongea utumbo
Huyo babu hajielewi ni mkurupakaji sana.Mzee punguza povu, eleza huo mkataba wa jurgen klopp unavyompa mipaka. Ndiyo maana haji mwenyewe amegoma kusaini kandarasi ya milioni 4 kwa mwezi, kwa sababu kandarasi hiyo itampa mipaka. Ndiyo maana yupo hapo Simba na ameridhika na laki 7 lkn anapiga mpuga wa zaidi ya milioni 5 huko kwenye hizo kampuni zingine. Kumbuka haji anapata hizo kandarasi zingine kwa sababu yupo Simba, nje ya simba hawezi kupata! Na Simba hatuhitaji tena kuibeba hii takataka..haji alibaki Simba kwa sababu huruma, lkn siyo kwa umuhimu. Haji ni mlemavu wa ngozi, ukimchukulia hatua bila tahadhari, watu watasema ulemavu wake ndo sababu. Hilo ndo limefanya tubaki naye pamoja na makosa yake. Haji ana barua za kuonywa hata 16 zinafika. Lkn bado anajiona yy ni mkubwa kuliko hata Simba!
Mchukueni kabisa awe msemaji wenu, mbona simple sana.Bwana mo ana Umia mzee aki promote brand za Azam na GSM
Kwa ulichokiandika hapa, ni heri hata huyo Manara. We' ndiye unayeidharirisha Simba! Na hizo namba zako, ni kama unamuandaa atafute UONGO wa kuja kuumwaga hadharani, Ili tu, KUIFARAKANISHA SSC.---- Mechi yetu na Yanga SC hii ya Juzi tu Wewe ndiyo uliuza Ramani ya Vita kwa Yanga SC na ukalipwa na GSM kwa Kuwatahadharisha Yanga SC wasipitie Mageti yale makubwa Mawili ambayo Simba SC tulikuwa tayari tumeshafanya Unyangindo (tumeroga mno) na wakapita Kwingineko
---- Najua unayopanga Kuyaongea hiyo Jumatatu ijayo ni yafuatayo.....
1. Uhusiano wa CEO na Mwekezaji
2. Suala la Mchezaji Jonas Mkude
3. Kuondoka kwa aliyekuwa CEO Simba SC Senzo Mazingiza
4. Sakata la Bernard Morrison
5. Hanspoppe na Usajili wa Wachezaji
6. Siri za Ushindi wa Simba SC ndani na nje ya Uwanja
7. Uwekezaji wa Mohammed 'Mo' Dewji ndani ya Klabu ya Simba.
Cc: billduke
Upi ni uhaini?Hata kama hana madhara technically, bado huo ni uhaini. Haipo ktk maadili ya kazi.
Messi alikuwa na mkataba na Adidas japo Barca wana.mkataba na NikeWapumbavu humu wengi..
Kocha wa Liverpool ana Mkataba na Adidas
Licha ya Liverpool kuwa na Mkataba na Nike
Kuna mipumbavu humu mingi haijui kazi kuongea utumbo
Mo anashindwa kitu gani kuingia mkataba na manara atangaze biashara za metl!?Mwemed ni mwekezaj wa simba na ndio mwenyekit wa bodi ni sawa tu kusema haji kaajiliwa na mo afanye kaz simba
Messi alikuwa na mkataba na Adidas japo Barca wana.mkataba na Nike
Muhimu umeelewa, kuzodoana kuhusu kingereza ni ushamba tu.Mkuu Rasi Simba kasema kesho upitie pale magomeni ili ujifunze Lugha ya Malkia.
"Am wait to see what will happen"