SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 8,189
- 7,853
Mkuu, kuna Generation mbili hapo. Msome huyu denooJ.Hii ichi ya kijinga sana,baba zao wameshindwa,wataweza watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, kuna Generation mbili hapo. Msome huyu denooJ.Hii ichi ya kijinga sana,baba zao wameshindwa,wataweza watoto
Msome umueleweNdio angewajibika...angekataa nafasi kwa sababu ameshajitathmini na kujiona hafai
Uzuri wa mzee wa site ni kuwa yeye keshashiba tayari ni tofauti na hawa watoto wa wachovya asali ambao utamu wa jumba jeupe wameanza kuujua baada ya baba zao kuwa manyapara.Hii kauli ni kubwa sana. Kuwa watoto wa viongozi wanapata nafasi si kwa sababu wamewahi fanya matendo makubwa ila ni sababu tu ya majina ya watoto wao.
Nadhani alikuwa anamaanisha yeye, Ridhiwani Kikwete, Januari Makamba, Nape Nnauye n...
Kumbe mzee ww soldierMakongoro asinidharau sana yeye ni Mzalendo wa nchi hii amepigana vita ni Ex Soldier mzuri.
Mkuu nilimaanisha asijidharau sana..mimi ni raia mkakamavu.Kumbe mzee ww soldier
atakusikia tu
Makongoro ni burudani tosha haboi hata kidogo na moyo wake ni mweupe pee[emoji28][emoji28]Makongoro akiwa anapiga speech live on a national yelevision inahitaji ujasiri maana street language za kutosha
Jamaa kitaa sana na anaweza kutoa boko any moment...
Bora mlevi asiye mwizi kuliko Shekhe jambazi..huyu jamaa ni mlevi-mlevi tu anabugia mshahara kwa kodi za Watz kwasababu ni mtoto wa Nyerere.
..ndio maana KATIBA MPYA ni muhimu ili wananchi wasiendelee kubeba mizigo kama hii.
Sio chawa kabisaKaongea tu, lakini Makongoro ni mpambanaji sana tena bila hata kutegemea jina la baba yake.
Alikuwa Jeshini. Akaenda vitani Uganda.
Aligombea Ubunge Arusha kupitia NCCR Mageuzi 1995 baba yake akiwa hai na akashinda.
Na siku zote amekuwa yeye Kama yeye kifikra na Mambo yake.
Daah mkuu ...mami nimemwambia bora mlezi asiye mwizi kuliko Shekhe jambaziBora huyu mlevi kuliko majizi
Labda alikuwa anaogopa makombora ya TanzaniteFaizaFoxy umerudi Mama?!! Enzi za JPM ulipotea sana,nikajua korona labda imekukorona!!
Na Makongoro hajawahi kuwa mjinga anaongea kijinga kijinga lakini hapotezagi point wala lengoKumuelewa huyu jamaa yakupasa utulize akili,
Ila kuna jambo nyeti sana kaamua kuliweka hadharani
Punguza chuki ndugu
Hataki makuu tu mkuuMakongoro asijidharau sana yeye ni Mzalendo wa nchi hii amepigana vita ni Ex Soldier mzuri.
Lahasha! Nimeona hivyo,wala usitetereke. Nimekupata mkuu.Mkuu nilimaanisha asijidharau sana..mimi ni raia mkakamavu.
Na Makongoro hajawahi kuwa mjinga anaongea kijinga kijinga lakini hapotezagi point wala lengo
Mzee J.K usije tu fichua genge lako.😄 Unasomeka mkuu!..nawapenda Watz wote.
..hata ndugu zetu wa genge la wasiojulikana, watekaji, na wauwaji, nawapenda.
Sijuhi hata kama watakuelewa!Hawa watoto wa Nyerere sio chawa, hawajipendekezi kwa viongozi ili wapewe chakula, baba yao alishawakomaza waishi kibishi toka miaka hiyo. Kwa sasa watawala wanawapa madaraka ili kuficha aibu ya watoto wao au wa marafiki zao wanaowabeba...
Na mwingine, mtoto ni Generali jeshini, na pia mshauri mkuu wa rais mwenyewe, na hapo hapo mtoto akisuluhisha mtifuano wa baba yake na kiongozi wa nchi jirani.Muda huo huo.
Kuna Rais Mstaafu wa nchi ya jirani.
Yeye bado anaongoza nchi.
Mkewe ni Mbunge na Mwanae ni Naibu waziri.
Halafu Jaji Warioba kama vipi atusaidie kupata Katiba yetu. Tumechoka kupigwa kalenda na Wanasiasa! Na hasa wale wa kutoka CCM.
..Mzee Warioba hawezi kuwa na msaada wowote.
..Yule Mzee yuko soft sana, na akiona wakubwa ananyong'onyea kabisa...