Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Atakae kuwa na utetezi wa kijanjajanja mshindi hata kama ana kosa, kusuluhisha mahusiano ya watu ni kazi sana tuwaachie viongozi wa dini maana wakiwa mbele ya kiongozi wa dini hata hofu ya Mungu inawatanda
 
What goes around comes around, sio!
Jamaa angu mmoja kipind tunaishi nae mtaani nae alkua mwalimu katafuna sana mabinti wa watu na anajisifia.

Bahat mbaya mungu kamtunuku mabint 3 na dume 1.

Hao watatu hakuna alievuka form 4, wote wamepigwa mimba wamezalia nyumbani kwake.
 
Jamaa mzinguaji unakuaje na kibamia afu mke mkali tako tako ...Apo ilitakiwa utafute ka mke kabovu shapeless .. msaidiane shida zenu avumilie kiba100 chako na wewe uvumilie sura personal.
Afu ukishakua mhuni acha wivu nk...na uwe tyari kwa outcomes za uhuni wako.
Hii meza Ni ngum kuipindua
 
Wanawake always sio wazungumzaji sana wa yanayowasibu mitandaoni au kwa watu..

Ndio maana humu jf ni nyuzi chache sana za wanawake wakizungumzia mabaya au kulalamikia mahusiano yao.

Wanaweka sana vinyongo moyoni, ndio maana tunatakiwa tuishi nao kwa akili.

Kwa Maana watu wa vinyongo wanaweza kukulipua mda wowote ukajika NDOA imegeuka Taleban au afghanistan
 
Jamaa angu mmoja kipind tunaishi nae mtaani nae alkua mwalimu katafuna sana mabinti wa watu na anajisifia.

Bahat mbaya mungu kamtunuku mabint 3 na dume 1.

Hao watatu hakuna alievuka form 4, wote wamepigwa mimba wamezalia nyumbani kwake.
Sasa mkuu we huwatafuni..?
 
Talaka ni laana mkuu ..umekaribisha laana kwenye damu yako. Hata watoto wako watafuata ulikopita wewe.. Ila pole Sana kaka
 
Usijidanganye ndoa ni fedha ondoa hayo mawazo. Matajiri walioko kwenye kumi bora duniani ndoa zao zimevurugika, Bill Gate ni tajiri ndoa imemshinda, marehemu Mengi ndoa ilimshinda nakushauri ujue chanzo cha ndoa ni Mungu, mtafuteMungu kwa bidii atakupa ndoa nzuri
 
Itategemea na ni kiasi gani moyo wa mkewe ulipondeka, mwanamke akiamua kurevenge anaweza akakuua na hata chozi lisimtoke
Kabisa,
mwanamke akikasirika anakua katili sana.

Na sio ajabu uyasemayo mke wa jamaa ana ujasiri wa ajabu.

Yaan kaamua agongewe pale pale jamaa aone imuume.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf nashindwa elewa kwanini anashupaza hv shingo. Ama ukute hata siyo yeye ameomba utengano bali ni mke aliamua baada ya kuvumilia ufala wake[emoji23][emoji23] yeye anataka comforting lies tu. Kibamia kitamgharimu sana. [emoji23][emoji23] na kuwa kote kule fundi wa kibamia baado akaachwaaaa... poooh mbakaa.


Kwann asiombe tu msamaha huyu jamaa? Sema tabia nayo ni kama ngozi. Haibadilikagi asilani...
 
Nakwambia mama watoto pale mwanamke nimepata.

She is very calm&understanding.

Vurugu za ujana zilitaka kunikosesha mwanamke wa maisha yangu.

Mungu ampe maisha marefu

Ooh[emoji7][emoji7][emoji3059][emoji3059] am soo happy for u brother.ujana ni maji ya moto sana. Unajikuta kichwa ngumu sana. Kwangu nachukia mno kuanza mahusiano mapya. Nachukia mnooo... maana dah...
 
Atakua kajifungia ndani anatubu
Tunaomba aje na thread mpya. Ila hapa ndo tunamsaidia kupona. Ila tunaomba asije kujiua tu maana naogopaaa kuwa sehem ya kumbully muhanga... mimi mwenyewe si mkamilifu. Mungu anisamehe tu.

Mkuu, its never late, naomba tu utubu. Na i am here. I will be a sister. U arw going to be fine. Ni muda tu. Utasimama na utakua imara. Huenda pia mkeo akarejea kwa vilio pia maana nyinyi muna agano. Plz, ulajisikia mnyonge sana we gonna chat pm. I love u brother
 
Mkuu mimi kwa wifi yako nakuwa mnyenyekevu balaa,hata akikosea namwelekeza kwa upole naogopa hikihiki uchosema
Mkuki kwa nguruwe...,
Wanaume ndo mnaoua ndoa zenu na mwisho ndio huwa mnaumia Yani ukiona mwanamke una mpiga matukio ana mute anaanza kukutoa moyoni taratibu hata 5 years na siku anaondoka anakuwa ka Sha make decision harudi nyuma mazima aisee, wanaume ni vinara wa kuumiza wake zenu na mkiachwa pressure inawaua.
 
Exactly. Tunayavumilia mnooo. Yotw hayo ni matumaini mtabadilika na kuwa na huruma kumbe ndo tunazidi wajaza kiburi... tukisema tufunguke kila mtu atakimbia...
 
Haha kwani Jamaa alifanyaje aisee
Jamaa alkua mchafu sana.
1. Alkua mchepukaji maarufu sana na anajisifia humu.
2. Alkua anatumia pesa zake kutembea na madem wa washkaji zake wasio na pesa.
3. Pesa zimemuishia nae wamemgongea mke wake na maneno ya shombo wanammwagia.
 
Nilichogundua ni kwamba Wanawake huwa hawawezi kutunza siri za ndani.

Mke akipata mchepuko huwa wanawavua nguo waume zao kwani wanasimulia madhaifu yote ya mume wake hata yale ya kitandani.
 
Kabisa,
mwanamke akikasirika anakua katili sana.

Na sio ajabu uyasemayo mke wa jamaa ana ujasiri wa ajabu.

Yaan kaamua agongewe pale pale jamaa aone imuume.
Yaan huo ujasiri ni mkusanyiko wa matukio waliyopigwa. Kuna wengine huenda extra mpaka na kulaza mahawara same house na mke yuko hapohapo. Very sad and bad..

Kuna mahusiano ukiwa nayo tu ukiyapima unaina kbs huyu jamaa akija kuwa nazo ni mnyanyasaji mno. Dawa ni kila mtu atafute pesa zake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…