Hatimaye ndoa yangu imevunjika

Na alikuja huku kumsema vibaya mkewe ili apate support maana wanaume humu hupenda kuponda wanawake Sana as if wao ni malaika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sasa si nimejisema kuwa namuumiza. Maana yake sijakamilika na ninashangaa inakuaje pamoja na uasi ambao anaukamata mara nyingi tu, but still anaonyesha upendo na huruma kwangu.?

Ujue mpaka naogopa
Anakulia timing wanawake huwa hatuachi ghafla na huwa hatusahau kitu moyoni aisee hapo anakutoa moyoni kitaratibu tu akipata kilicho sahihi na target zikiwa sawa utaula wa chuya
 
Na alikuja huku kumsema vibaya mkewe ili apate support maana wanaume humu hupenda kuponda wanawake Sana as if wao ni malaika.
Yaanii ukisomaga threads humu unajisemea kumejaa wavulana. Unakuta wanajifaraguaaaaaa utasema Malaika Mkuu na kopo lake[emoji23] sijui Gabriel sijui mikael sijui nani. Yaan wanaharisha kwlei ili wapate support. Yakiwarudi baasiii ndo hivi..
 
Wanaume tuna la kujifunza kwa mtoa mada,

Mara nyingi stori za kuskia upande mmoja hazinaga uhalisia.

Wengi sana wamemhukumu mwanamke bila kujua chanzo ni mwanaume

Jamaa inabidi atafute wazazi na washauri wa kiroho wamsaidie kuliweka sawa
Huyu hata sio wakuhurumiwa acha skinywee hichi kikombe in hard way, wanaume wengi hufundisha wanawake ukatili na wao kusahau Tena huyu hajajifunza yeye alichepuka Sasa ana mlaumu mkewe ili apondwe na Wana jf. Dah Mimi mwanaume aliyeachana na mkewe humsikiliza ila hujua mwenye makosa ni yeye na michepuko Sasa kalipizwa na katoa talaka juu.
 
Jamaa alkua mchafu sana.
1. Alkua mchepukaji maarufu sana na anajisifia humu.
2. Alkua anatumia pesa zake kutembea na madem wa washkaji zake wasio na pesa.
3. Pesa zimemuishia nae wamemgongea mke wake na maneno ya shombo wanammwagia.
Saa hvi akiwaza kiuno Cha mkewe kinavo sasambuliwa roho inamuuma....haha
Ukiwa mhuni inabid uwe na roho ngumu uswe mlain lain
Atafute beibee mwingine aweke ndani
Hii jinsia wako wengi wenye uhitaji
 
Pole sana kijana tafuta pesa wanaume mmeumbwa mateso bila pesa unaonekana kibaka tu.
 
Karma is a bitch, what goes around comes around wahenga wakizungu walisema
 
Anakulia timing wanawake huwa hatuachi ghafla na huwa hatusahau kitu moyoni aisee hapo anakutoa moyoni kitaratibu tu akipata kilicho sahihi na target zikiwa sawa utaula wa chuya
Kwahiyo nijipange?
 
Rais wa wafukua makaburi duniani.
 
Bilashaka umeandika huku unalia maana sio kwa maneno machungu haya!
 
Kuna ambao ndoa zao zina furaha sana, na kuna akina sisi ambao neno ndoa kwetu ni tusi.
 
Mbona mnajidanganya sana kwahiyo asitafute pesa? Mnaishi maisha ya kuigiza, sasa bila fedha unawezaje kuwahudumia familia yako watoto mkeo mavazo, chakula, ada, bili za maji umeme nk, ila pia shida mnatafuta pesa eti ili kila mwanamke akupende hii ni mambo ya ajabu, hela ni lazima itafutwe kwa misingi iweze kumudu mahitaji yako na oia ndugu zako na pia familia yako, sio hela yako utumie kwenye uzinzi sioni tija hapo
 
Naichukua hii mkuu, asante
 
Nilichogundua ni kwamba Wanawake huwa hawawezi kutunza siri za ndani.

Mke akipata mchepuko huwa wanawavua nguo waume zao kwani wanasimulia madhaifu yote ya mume wake hata yale ya kitandani.
Mbona hata nyie wanaume huwa mnaongea madhaifu ya wake zenu majumbani ni nadra mwanamke kutaja madhaifu ya ex wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…