Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Sasa si bora Magufuli Kuna watu watu wengine wanaamini The late Mkapa hana watoto kabisa.
Tuwaangalie Marais wote kuanzia Nyerere hadi huyu wa Sasa. Kuna la kujifunza. Tena JK yeye ndiyo kabisaa, Mwinyi kule Zanzibar, Wabunge wa majimbo kadhaa ni familia yake. Unaweza kusema kuwa Rais hakuzuhii mwanafamilia kugombea nafasi nyingine ya uongozi, lakini kwann hawakufanya hivyo kabla?
 
Alikwenda kufanya kazi ya watanzania, afe kipa afe beki. Hawa wengine wanalazimisha watoto wao waimiliki Tanzania kama mali yao binafsi. Sio rahisi
Abdul ana kampuni yake ya solar,hakwenda Uganda akiwakilisha nchi,alienda kwa niaba ya kampuni yake na akafanikisha kupata tenda ya kufua umeme,diplomasia ya uchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…