Mi wanawajua wale Wakubwa niliwaona wakaka vibonge wakati wa msiba na Jesca alikuwa analia sanaWatoto wa magu Wana umri gani!?..niliwaona siku za mwanzo ikulu,walikua wadogo,yaani wa o level,ukiacha huyo wa udom
Katika watu ambao sijawahi kumkubali ni Magufuli baada ya kuwa rais. Alileta utawala mmoja wa kipuuzi sana. Lakini kwenye hili la kutopendelea familia yake kwenye uongozi nanimtendea haki, hakufanya hivyo.Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Mseven huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wananafasi gani hapo serikarini
Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri
Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi kuwaona kwenye Hafla, Ikulu wala kwenye mkusanyiko wowote wa viongozi wakiwa kama watoto wa Rais
Haya ndiyo maadili twapaswa kuwajengea watoto wetu
Mtu unapata nafasi ya Kuongoza nchi, watoto wako nao unataka wawe viomgozi? Haya sidhani kama ni maadili ya kiuongozi!
Ofisi tumpe Rais, watoto nao tuwe tunawahudumia kama viongozi wetu? Watuhoji kwa nini tumechelewa ofisini?
Hii hapana
JPM apewe mauwa yake kwa maadili ya familia yake!
Tunapozungumzia maadili ya kiuongozi na kuondoa sintofahamu ya familia za viongozi wetu kufanya watoto wao wawe frontline kiasi cha kwamba nao ni viongozi wetu, tungependa kuwa Taifa la namna gani,?
Taifa la kichief na kifalme? Au ni taifa linalofuata taratibu na sheria za nchi?
Tumpigie kura mtu fulani, badala yeye tu kuwa ndiye kiongozi na anayepaswa aheshimiwe, badala yake kunakuwepo na watoto wake tena ambao nao anataka wewe sehemu ya uongozi wake na nusu ya heshima yake, ipelekwe pia kwa watoto wake!
Je, hakuna utata wowote mtoto wa Rais kuwa sehemu ya kiuongozi?
Uliwahi kuwajua watoto wa Nyerere kabla?Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Mseven huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wananafasi gani hapo serikarini
Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri
Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi kuwaona kwenye Hafla, Ikulu wala kwenye mkusanyiko wowote wa viongozi wakiwa kama watoto wa Rais
Haya ndiyo maadili twapaswa kuwajengea watoto wetu
Mtu unapata nafasi ya Kuongoza nchi, watoto wako nao unataka wawe viomgozi? Haya sidhani kama ni maadili ya kiuongozi!
Ofisi tumpe Rais, watoto nao tuwe tunawahudumia kama viongozi wetu? Watuhoji kwa nini tumechelewa ofisini?
Hii hapana
JPM apewe mauwa yake kwa maadili ya familia yake!
Tunapozungumzia maadili ya kiuongozi na kuondoa sintofahamu ya familia za viongozi wetu kufanya watoto wao wawe frontline kiasi cha kwamba nao ni viongozi wetu, tungependa kuwa Taifa la namna gani,?
Taifa la kichief na kifalme? Au ni taifa linalofuata taratibu na sheria za nchi?
Tumpigie kura mtu fulani, badala yeye tu kuwa ndiye kiongozi na anayepaswa aheshimiwe, badala yake kunakuwepo na watoto wake tena ambao nao anataka wewe sehemu ya uongozi wake na nusu ya heshima yake, ipelekwe pia kwa watoto wake!
Je, hakuna utata wowote mtoto wa Rais kuwa sehemu ya kiuongozi?
Yule alikuwa mshamba, jitu lenye roho mbaya mpaka kwa familia yakeNampenda sana marehemu ila Kwa Hilo,hata Mimi nisingeweza niwe raisi wanangu wasienjoy ikulu watasimulia Nini baada ya miaka 10,weee[emoji16]
Sema kwa sababu Jesca alifeli ndo tukamjuqJesca alijulikana baada yakugundulika kuwa wakati Magufuli anavunja ile course ya ualimu pale UDOM ya form 4 zilizofeli na Jesca alikuwa muathilika la tukio ilo maana nae alikuwa mwanafunzi
Dotto mtoto wa dadaNauliza tena, Dotto ni mtoto wa JPM?
Habari ya mjomba achana nayo mkuu, uthibitishe tu iwapo ni mtoto mtu basi!
Hata kuwa Msemaji wa familia bado unapwaya sanaaaa 😅😅😅Mie ningekuwa hata msemaji wa raisi ningetaka watoti wangu wajulikane ila wasiingilie vitu
Alikuwa Mzalendo bhana😁Yule alikuwa mshamba, jitu lenye roho mbaya mpaka kwa familia yake
Watoto wa Walioba unawajua, Sumaye, Msuya?Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini
Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri
Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi kuwaona kwenye Hafla, Ikulu wala kwenye mkusanyiko wowote wa viongozi wakiwa kama watoto wa Rais
Haya ndiyo maadili twapaswa kuwajengea watoto wetu
Mtu unapata nafasi ya Kuongoza nchi, watoto wako nao unataka wawe viomgozi? Haya sidhani kama ni maadili ya kiuongozi!
Ofisi tumpe Rais, watoto nao tuwe tunawahudumia kama viongozi wetu? Watuhoji kwa nini tumechelewa ofisini?
Hii hapana
JPM apewe mauwa yake kwa maadili ya familia yake!
Tunapozungumzia maadili ya kiuongozi na kuondoa sintofahamu ya familia za viongozi wetu kufanya watoto wao wawe frontline kiasi cha kwamba nao ni viongozi wetu, tungependa kuwa Taifa la namna gani,?
Taifa la kichief na kifalme? Au ni taifa linalofuata taratibu na sheria za nchi?
Tumpigie kura mtu fulani, badala yeye tu kuwa ndiye kiongozi na anayepaswa aheshimiwe, badala yake kunakuwepo na watoto wake tena ambao nao anataka wewe sehemu ya uongozi wake na nusu ya heshima yake, ipelekwe pia kwa watoto wake!
Je, hakuna utata wowote mtoto wa Rais kuwa sehemu ya kiuongozi?
Umewahi kuwaona na kiherere cha kuwa baba yao ni rais kiasi cha kuwa wawakilishi mahali kama alivyofanya Abdul na kuleta migogoro na TRA eti ni biashara za mtoto wa Rais?Suzan John Magufuli
Joseph John Magufuli
Edna John Magufuli
Jesca John Magufuli
Jurgen John Magufuli
Jeremiah John Magufuli
Juliana John Magufuli ( Alikufa wakati Magufuli akiwa Waziri)
Nch za afrika,utaingizwa tuNilikuwa naomba nipate ufafanuzi.
Kwa mfano mtoto ni zero brain au alikuwa hazingatii masomo, mara ghafla mzazi wake anakuwa rais. Je, mzazi ambaye ni rais anaweza kumuingiza serikalini au mifumo ya ajira lazima iendelee kukataa tu hata kwa mtoto wa rais?
Kama mifumo ya ajira itakaa kwa huyu mtoto wa rais, si itabidi mzazi amtengenezee mtoto biashara ili asikae kihasara kwa sababu siyo lazima kuajiriwa! Hapa sasa mtoto ndio anatakiwa apambane kujibrand au?
Joto hasiraHuna akili,kwan kifungu gani cha katiba kinazuia hayo!
Makufuli yeye nani haswa kiasi aigwe yeye dikteta yule!?
Mmmh ulichelewa kuja mjini hata picha haujawahi kuiona.???Jesca mlimjua sababu pamoja na baba yake kuwa rais ye aliendelea kusoma vyuo vya serikali..lakini hata picha yake hatuijui.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Doto James Masanja hana undugu wowote na Magufuli isipokuwa wanatoka sehemu moja tu Chato. Kama unabisha taja Jina la mamake Doto ambae ni dada wa Magufuli.Doto James alikuwa ni mtoto wa dada, “anko ni mama” huu msemo unaujua?