Hezbollah yajeruhi zaidi ya wanajeshi 40 kwenye mesi nchini Israel wakati wanakula

Ulianza vizuri
 

Hata hawa hapo hawalengi kwa makusudi:



Ila ni kupagawa tu.
 
Naona umeanzisha Uzi halafu ukapaste muda huo huo comment uliyoiandaa hongera .
Kabisa hapa Pana mchezo wa multiple 🆔

Uzi umepostiwa lakini ndani ya 1 minute ameshasoma ameshajua nini aandike na aandike kwa ukubwa gani maana hilo gazeti kama mimi ningetumia siyo chini ya dk 10 yeye kafanya yote kusoma na kuandika chini ya dk mbili.
 
Kazi ya kutukana watu ni hulka ya uislam.
 
Msukumo wa bandiko lako ni dini unayoiamini
 

Wabeba bendera za taifa teule madhabahuni watapinga.
 
Uvumi kuhusu kifo cha Mkuu wa Majeshi wa IDF, Herzi Halevi, umeenea kwenye mitandao ya kijamii baada ya shambulio la drone la Hezbollah karibu na Binyamina siku ya Jumapili, ambalo lilisababisha majeruhi zaidi ya 60.

Ripoti hizo zilisambazwa kwa haraka, huku akaunti zenye wafuasi wengi zikidai kifo chake. Daktari Anastasia Maria Lopes, mwenye wafuasi zaidi ya milioni moja, alithibitisha kifo hicho, akionyesha picha ya Halevi, wakati mkommentari kutoka Mrekani, Jackson Hinkle, alidai kwamba mauaji hayo yalifanywa kwa drones za kisasa.

Aidha, akaunti ya SilencedSirs ilichapisha picha yenye alama ya X nyekundu juu ya uso wa Halevi, ikionyesha kwamba ameuawa.

Mtafiti na mwanahabari Suleiman Ahmed pia alizungumza kuhusu kifo cha Halevi ambapo alitaja ripoti zisizothibitishwa. Hali hii imeongeza mkanganyiko na wasiwasi kuhusu hali ya usalama nchini Israeli.

Source: Yemen Shabab

My take: Hadi sasa hakuna taarifa kamli lakini baadae ya kufanya tafiti katika vyanzo vyangu vya kuaminika hapo tel aviv ni takribani asilimia 90 kamanda hatunae, nahivo tutajiandaa na majibu ya kutosha kwa kitendo hiki cha kikatili alisikika myahudi mweusi kutoka ISENGO MBEYA.
 
Mbona aljazeera haijasema lolote
 
Nyie kobazi mnakuja na stori za kinafiki mnakuja vistori eti mkuu wajeshi la israel Hervi Halev ameuawa mbona yupo hai kaonekana kutembelea kambi ya jeshi
 
WaIsrael wa buza wapo kwenye kikao muda huu kuamua jinsi ya kutangaza hizo taarifa za msiba lakini israel ni dhwaifu!
 

Attachments

  • 20241014_084119.jpg
    319.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…