Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Daah!! Kumbe?!! Ila wanasiasa
 
Kile kimama ni hovyo mnoo.
Kinapenda sana msesereko tu.
Hata kukariri hakiwezi sembuse kufikiri hivyo kinapewa kisome hotuba hivyo hivyo, na kutapika vitu vya ajabu.
Hata Kama amekosea , watu Kama nyingi mnakisea zaidi kumdhalilisha! Kumbuka yule ni kiongozi wa taifa letu hata Kama hatumpendi.

Nivema tukawa na lugha za staha kumkosoa!
 
Mwandishi atakuwa Francophone. Wafaransa ndio wanatumia koma kwenye nukta. Yaani kwa Kifaransa bilioni 6,253 = bilioni 6.253. Lakini kusema ukweli Ikulu yetu ni jumba bovu. Nyaraka za Ikulu km vile press release za uteuzi zimejaa typos!!
Kama zuzu alipo soma alishindwa kutambua ilo kosa basi ni kwa sababu yeye ni zuzu
 
.... huo mlingano ulitakiwa automatically um-alert! Dola za kimarekani bilioni 6,253 (more than UK, Japan, France, or India GDP) inatosha kwa miezi saba tu kwa Tanzania?
Umakini nimuhimu sana. Kukosa umakini ni unyonge au udhaifu.
Nia njema, moyo mwema nk. Ongeza na umakini. Ona iliposemwa watu wamepata sentensi zao tayari... Bila umakini ghorofa laweza kusukumwa na upepo.
 
Hata Kama amekosea , watu Kama nyingi mnakisea zaidi kumdhalilisha! Kumbuka yule ni kiongozi wa taifa letu hata Kama hatumpendi.

Nivema tukawa na lugha za staha kumkosoa!
Sahihi kabisa ila ameshaona hatari yake
 
Wengi hawana uwezo wa kutamka namba baada ya nukta, alitakiwa asome billion sita nukta mbili tano tatu. Na hii shida kuwa mbali na hesabu!
 
ZN

ACHA HIYo,na zile za makabacholi zisizokuwa kwenye mfumo wa kibenki wamezijuaje ?
 
Umakini nimuhimu sana. Kukosa umakini ni unyonge au udhaifu.
Nia njema, moyo mwema nk. Ongeza na umakini. Ona iliposemwa watu wamepata sentensi zao tayari... Bila umakini ghorofa laweza kusukumwa na upepo.

Kwani si ni Wajibu wa Mama kupitia hotuba kabla ya kuisoma kwa wananchi?
 
Wengi hawana uwezo wa kutamka namba baada ya nukta, alitakiwa asome billion sita nukta mbili tano tatu. Na hii shida kuwa mbali na hesabu!

Kwa hiyo unataka kusema kuwa Mama hakuona nukta?
 
... nakazia; zaidi ya GDP ya Japan, Germany, France, au India! Hii nchi ni tajiri sana!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sijaelewa, unatamba vipi na hela ambazo sio zako tena unaita akiba.
 
taratibu, hata kama jamaa awe ni mwenyekiti wa vilaza, atakuwa ameshaelewa.
 
kwa hesabu zaharaka ni kuwa nchi ina akiba ya tshs 1,426,934,600,000,000/=
Kwa kuwa Idadi ya Watanzania wote pamoja na vichanga inakaribia 60,000,000
Kwa hesabu za haraka hizo hela ukizigawa kwa Watanzania wote kila moja atapata 23,782,243
 
aisee, ni zaidi ya Noah tulitegemea kipindi ile.
 
Unaelimisha watu wenye ufahamu mdogo sana. Mtu anaacha kuenda chimbo ajifunze kwanza. Yeye anaongea kwa kejeli hata asiyoyajua. Sababu tu Kawa mpinzani wa rais.
 
Bora usingechangia, unajiaibisha. $6,250B ($6,250,000,000,000) izidishe hiyo kwa pesa ya Tz (2,300) uone utapata tsh.ngapi?
Hatuwezi kuwa na pesa hizo, hata bajeti zote za nchi za afrika kwa mwaka haziwezi kufika huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…