Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

I love my president. Siyo mlkpokaji kama jpm ambaye alikuwa anapiga fix kila kitu ilimradi kuwafurahisha tu hata kama matendo ni zero. Alitupiga fix kwamba miradi i inajengwa kwa pesa za ndani kumbe ndo mkopaji namba moja na riport ya CAG ikamdharilisha.
 
Ungeweka video ingekuwa safi pia
 
Acha kuumiza kichwa. Wajuvi wa mambo tangu mwanzo tuligundua uongozi ni karama. Na siyo kulazimisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…