Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

Naona sasa ameamua kugombana na kila mtu. Bado tu kugombana na Abdul na Mchengelwa.
Anarushia ngumi na ushungi hadi wanajaojaribu kuamulia ugomvi.
 
Nchi ngumu sanaaaa
 
Fikiria kidogo,Mungu amemuumba mwanadamu lkn mwanadamu akafanya makosa
 
Kifo ni kifo tu
 
Kwanini madaraka ya kuteua yasipunguzwe kichwa kimoja kinateua watu buku jero kweli TZ tunaishi vichwa bogazi kabisa hasa haya machawa machawa
 
Mkojani ana frustration siyo za nchi hii, hata ukimwangalia usoni tu wakati anazungumza unajua kisu kimefika kwenye mfupa na bado, alionywa huyu kuwa adui yako siyo wapinzani bali wavaa kijani wenzako akadharau akaanza kuteka, kuumiza, kupoteza na kuua wapinzani akiamini ndiyo adui zake kumbe adui anakula nao na kunywa nao.
 
Umeelewa mada, maana unaongea nje ya mada umelewa au umevuta bange
 
Upo sahihi tumeshajua nani ni tatizo
 
...si anawafahamu watu mbona hawateui..au si yeye anateua km alivyosema aliyemtangulia alipolalamika..kuchomekewa kwenye uteuzi, km ni hivyo si aanze na hao wanaomletea hiyo orodha ya wateuliwa kuwaita jitu..!
... Mkuu unataka uelezejwe? Mara zote si mwasema Urais ni taasisi, Sasa mbona mwafoka as if Urais ni mtu!!! Mnaamisha magoli ujue.

Hata hivyo, nimekuelewa sana.
 
Mawazo yangu mgando nilijua the coming VP ataachiwa kijiti kama 2021 japo si kwa kupotea mtu bali ingetafutwa namna lakini mbona mambo yameenda kasi sana na October imesogea mbali,wacha wananchi tuone wenye nchi wanafanyaje mambo yao.
JK kamngangania sana huyu mama, yule mzee amegoma kabisa kustaafu
 
Km Prof kabsa
 
Kuna shida mahali nadhani kuna inferiority complex
 
Ineptness at its peak. Ila wanawake wanapenda sana ku count favours, mama anajiona nani sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…