Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

Kitendo cha kutuletea Makongoro Nyerere(mkuu wa mkoa) na peter Lijualikali (mkuu wa wilaya Nkasi),ilikuwa dharau kwa wapenda maendeleo ya mkoa na wilaya.

Bandari ya Kipili ulikuwa ni ujinga kupeleka kule,eneo sahihi ilikuwa Mswa (Katete), maana mzigo mkubwa hupatikana Kirando sio Kipili.

Mwalo wa Kirando mpaka sasa hivi uko kwenye maji (upotevu wa pesa),na hakuna ambaye anashughulika na jambo hili.

Josho iliyupo kirando haifanyi Kazi tena,limebaki eneo chafu lisilo na msaada wowote kwa wafungaji wa Kirando.
 
Hadi hayo yanafanyika na pesa kupotea nyie mlikuwa wapi?

Mwisho usimbeze Makongolo Niliona aliibua upigaji wa Kituo Cha Afya Kate huko
 
Tuseme wakazi wa Kirando tunafanyiwa isolation kisa ndo ngome kuu ya upinzani ndani ya mkoa wa Rukwa?

Barabara ya Nyamanyere-Kirando ni muhimu kuliko hiyo ya Lyazumbi -Kabwe,kirando ni kitovu muhimu sana katika wilaya ya Nkasi maana mwingiliano na mkubwa kuzidi maeneo mengine lakini huduma zake zipo nyuma sana.
 
Narudia kukwambia kwamba nyie waambieni Chadema wawajengee.

Pili Kabwe kuna Bandari,hakuna mjinga atajenga lami Namanyere -Kirando kabla ya Lyazumbi-Kabwe.
 
Kirando ndo ilikuwa sehemu sahihi kuliko Kipili maana mpaka sasa hivi navyo andika mizigo ya kwenda Kongo,Zambia na Burundi mingi inapakiwa kirando na mingi inayo toka Dar kwenda nje tajwa inashushiwa kirando.

Una miaka mingapi hauja fika Kirando mkuu? Beach yote ya Kondwe beach haipo tena maji yasha songea sana mpaka mradi wa Mwalo upo kwenye maji.
 
Mliwachagua wa nini kama hawana Serikali? Wala hakuna makasiriko hapo
Watu wanachagua viongozi kwa sifa sio chama Cha siasa wanavyo toka,mkoa wa Rukwa kwa miaka mingi ni ngome ya ccm mbona hauna maendeleo makubwa mkuu ?

Leo hii unyimwe miradi ya kimkakati kisa huyu mama kuwa MP wa upinzani ? Au kirando na Itete kuwa na madiwani wapinzani?
 
CCM ni janga la Taifa! Wanachowaza ni kuwakomoa wananchi na kuvimbisha matumbo yao! Serikali makini hutekeleza hoja za wapinzani wao kisiasa kwa umakini mkubwa na hasa zinapolenga maendeleo ya wananchi wengi!
 
Tena Ole wenu niwe raisi ntahakikisha ntangoa hadi mabati ya shule napeleka kigoma nynyi nawalerea nyasi .mmezidi kuwapa wapenzi wetu dawa za mapenzi hadi tunavunja ndoa kama Dr likwelile
 
CCM ni janga la Taifa! Wanachowaza ni kuwakomoa wananchi na kuvimbisha matumbo yao! Serikali makini hutekeleza hoja za wapinzani wao kisiasa kwa umakini mkubwa na hasa zinapolenga maendeleo ya wananchi wengi!
Wakati huo Tanzania ukichagua upinzani basi ni fursa ya kunyimwa maendeleo,kwa sababu ya viongozi kuwa wapinzani,hakika uafrika ni laana.
 
Ndio maana maji na umeme vinasuasa hampati 😁😁😁

Wenzenu Swax town Airport inajengwa,Tactic inaanza mwezi ujao Kwa sababu Kuna mbunge wa CCM.

Ni wakati Sasa wa kudai maendelea Kwa mbunge na madiwani wenu wa Chadema πŸ˜‚πŸ˜‚

Mwisho Bora na Samia Mwendazake aliwapa nini hapo Nkasi? Miradi mtapata ila midogo midogo 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…