Hii ndio mikoa ambayo Rais Samia amewekeza nguvu kubwa kuiletea maendeleo

Huu mradi vipi?


View: https://youtu.be/nonXm0hA3-k?si=7T2f-4uqPPqUazXS
 
Tanga inazidiwa sana kimaendeleo na mikoa mingine. Hawana msemaji- fuatilia michango ya wabunge wao katika vkao vya bunge. Hao viongozi wa kitaifa wala hawafiki wilayani hata wakti wa uchaguzi....Tanga ccm watapata kura tu. Zao la mkonge, alilofufua JPM ndio kitu pekee kinachong'ara katika uchumi wa Tanga. Mradi kama wa reli umekarabatiwa kwa fedha nyingi miundo mbinu inaanza kuchakaa tena. Mradi wa barabara ya Tga-Pangani unasuasua - who cares?
 
Mbona unataka Kulia come down
 
Kwa taarifa tu ni kwamba Kirando hakuna shida ya maji maana mradi wa maji umesha kamilika muda mrefu sana kuhusu umeme upo muda sana.

Hiyo Swax ni miongoni mwa manispaa masikini ndani ya Tanzania,na Jimbo la Swax-Town toka uhuru lipo chini ya Ccm ni kwa mara ya kwanza ndani ya mkoa wa Rukwa kupata MP kutoka upinzani.

Na kama kigezo Cha maendeleo ni kuchagua Ccm basi mkoa wa Rukwa ungekuwa mbele kimaendeleo,unapo sema CDM ndo walete maendeleo kwani ndio wenye serikali?
 
Namanyere-kirando njia unatisha mnoo, nmepita majuzi huko for the first time. Kama unatoka namanyere, mbele mbele kule kuna ki daraja flan, ukiwa unapita, yaan ata kama huna dini, lazima usalie ata mizimu. Tena sio daraja moja, yapo kama matatu ivi, walaah!
 
Mikoa ambayo Rais ameipa kisogo;
1. Kilimanjaro
2. Rukwa
3. Songwe
4. Tabora united
5. Shybush
6. Singida fountain gate united
Mingine nimeisahau
 
Najua Kirando Kijijini hakuna shida ya Maji,Mimi nazungumzia Jimbo la Aida-wa Chadema kiujumla ikiwemo Namanyere yenyewe hakuna Maji Wala umeme.

Pili kusema Swax ni Jimbo Maskini ni stori za kujifariji πŸ˜‚πŸ€£ Swax Ina Barabara za mtaani safi kabisa kushinda Miji Mingi sana hapa Tanzania,Mji umepangika nk.

Tangu lini Makao Makuu ya Mkoa yakawa mabaya? Kuna Miji mingapi hapa Tanzania Ina Stand nzuri kama ya Swax? Huo umaskini uko mdomoni kwako kisa mumeangishiwa kitu Kizito.

Narudia kukwambia wewe jifariji ila mtakula sana vumbi hapo Namanyere -Kirando.

Mwisho Mkoa wa Rukwa ulichekewa kidogo sababu ya Barabara ila tangu Barabara ya Tunduma-Swax-Mpanda ijengwe na wewe unajua kwamba uko on πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Na Sasa Barabara ya Swax-Kasanga done

Ntendo-Muze-Majimoto & Kilyamatundu Iko under construction

Matai-Kasesya Border(Zambia) Iko under construction

Laela-Mwimbi-Kizombwe Iko under construction

Sumbawanga Airport Iko under construction

Tactic 12 km mjini ziko under construction

Na soon tunaanza ujenzi wa Lyazumbi-Kabwe Port Road

Hiyo ni miradi michache tuu sijataja sekta zingine,Kwa hiyo acha wivu na chuki.

Mwisho badala ya kulalamikia ccm walalamikieni Chadema maana Kila mtu atakula alikopeleka mboga 🀣🀣
 
Mikoa ambayo Rais ameipa kisogo;
1. Kilimanjaro
2. Rukwa
3. Songwe
4. Tabora united
5. Shybush
6. Singida fountain gate united
Mingine nimeisahau
Msiwe mnaropoka kama hakuna kitu unakijua.

Ameipa kidogo Kiaje? Au wewe Kwa umbumbu wako ndio hujui kinachoendelea kwenye Mikoa hiyo?

Nitataja miradi mikubwa tuu,ya size ya kati na midogo sitaji

Kilimanjaro
-Amajemga Moshi Airport

-Anajenga Barabara ya KIA,Tarakea Rombo nk

Rukwa-Sirudii nimeshaeleza sana humu

Songwe
Anajenga Barabara ya Tunduma-Songwe njia 4 via EPC

Anajenga Barabara ya Njiapanda ya Iyula-Nyimbili-Katumba

Amekamilisha Daraja la Kulinganisha na Malawi Kasumulu na Sasa ujenzi wa Barabara ya lami Kutoka Kasumulu Hadi Ngana Kyela unaendelea

Anajenga hospital ya Rufaa ya Mkoa

Vwawa na Tunduma Zina miradi ya TACTIC nk.

Tabora
Anajenga Barabara ya Urambo-Kigoma kabla ya desemba utasafiri kutoka Dar Hadi Kigoma via Tabora Kwa lami.

Anapeleka maji Sikonge na Igunga kutoka Ziwa Victoria , wakandarasi wako site Kupitia mradi wa Miji 28.

Mradi wa Tactic Tabora mjini

Anajenga skimu za umwagiliaji Nzega na Igunga.

Shinyanga.
Anajenga Shinyanga Airport

Tactic Kahama & Shy town

Ujenzi wa Dry Port Isaka via SGR

Amepeleka Tawi la Chuo Kikuu Cha Ardhi Shy Mjini via mradi wa Kupeleka vyuo vikuu kwenye Mikoa ambayo Haina(Najua hili hulijui).

Singida
Anajenga Barabara ya Singida-Manyara via Sibito River

Anajenga Barabara ya Singida-Kiteto

Anajenga Barabara ya Ndago

Anajenga Barabara ya Mkiwa-Itigi-Rungwa

Mradi wa Tactic Singida MC

Mwisho Kuna substation kubwa ya Umeme inajengwa Manyoni plus One stop Inspection Centre.

Kiufupi hakuna Mkoa ambako Rais Samia hajasambaza Upendo yaani watu wako Mikoa Yao harafu hawaelewi kinachofanyika ila rangi ya chupi za kina Lisu &Diamond wanazijua πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Upo Deep sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…