Hii ndo hali halisi za mahusiano mengi ya kindoa siku hizi


Hakuna ambapo nimelalamika na hakuna ambapo sijakuelewa. Nimekupata kupata vizuri unataka mutually accountability. Ambapo unajipinga mwenyewe ni kwamba unachagua chagua hiyo mutually accountability iwe kwenye maeneo gani. Unaonekana kukwepesha logic yako ya pande zote kuwa accountable pale ambapo logic inambana mwanamke.

Kitu kingine ambacho haukielewi ni kwamba kuna nature. Naturally wanaume na wanawake kuna saikolojia tunazaliwa nazo. Hatuachagui kuwa hivi. Vilevile kuna namna dunia inatuhukumu kitofauti. Suala la past atahukumiwa mwanamke, suala la umasikini atahukumiwa mwanaume. Ipo hivyo na hauwezi kubadilisha. Kwamba leo hii ukataka mwanamke mwemye past mbaya aheshimike au mwanamume masikini athaminiwe. Hiyo haiwezekani.

Binafsi nakubali sio fair. Kwanini mwanaume na mwanamke wawe na historia ya kuwa na mahusiano mengi lakini ahukumiwe mwanamke. Kwanini mwanaume na mwanamke wawe masikini lakini mwanamke apendwe na athaminiwe na mwanaume atengwe na ashushwe thamani ya utu wake. It's not fair, but that's nature. You can't wrestle it. Just stay in your lane.
 
Na ukishamkuta ashatumika namba ya body count hauwezi kuijua kwahiyo suluhisho ni kuoa bikira tu. Tatizo tukisema ukweli ndio wanawake na waliooa mitumba wote wanaungana kutushambulia
Huo ndio ukweli chief,
Wacha waungane, mti wenye matunda ๐Ÿ˜‚
 
Achana naye huyo mjinga anajifanya haelewi.
 
Kwani nani alimfata mwenzake? Aliye mfuata mwenzake ndiye anapaswa kubeba majukumu yote ikiwemo na hilo la kujitunza.

Hapa ndipo mnapofeli. Logic ile ile ya mutually accountability mnaikwepesha ikionekana kumbana mwanamke. Ukifuatwa na ukakubali basi consequences za maamuzi yako zitakapojitokeza hauwezi kusema nilifuatwa. Kama unataka uwajibikaji na wewe pia lazima ukubali kuwa sehemu ya tatizo.
 
Body count matters more... .. huwezi oa manze body count inasoma 5+ halafu unambie wewe muoaji ambaye una Nia ya kweli utegemee huyo mwanamke awe na strong Emotional attachment kwako...
Siku izi ata body count hatusemi๐Ÿ˜น๐Ÿ˜นhivi vitu having formular
 
Usihudumie mwanamke hususani kama kipato chako ni kiduchu

Kwa sababu utabaki na majuto
kuhudumia hua hulazimishwi ni wewe tu na kiranga chako
Check ulivyo kichwa panzi kwenye hii comment na mwanamke aliyetiwa na wanaume lukuki anakuwa amelazimishwa au ni kiranga chake?
 
Achana naye huyo mjinga anajifanya haelewi.

Inachosha kweli kweli kujumuika na wanawake kwenye mijadala kama hii. Wapo driven sana na emotions, badala ya logic. Huyo juu kagusia logic ya mutually accountability kwenye promiscous past. Nikambadilishia case study tu. Nimemtoa kwenye promiscous past nimeleta kwenye provision cha kushangaza huku kwenye provision kaikana ile ile logic yake ya mutually accountability
 
Body count matters more... .. huwezi oa manze body count inasoma 5+ halafu unambie wewe muoaji ambaye una Nia ya kweli utegemee huyo mwanamke awe na strong Emotional attachment kwako...
Siku hizi kumpata mwenye body count ndogo ni almost impossible.labda tu uamue kujidanganya.
Dada zetu Hadi wanakuja kuolewa wanakuwa wametumika sana.
Omba tu umpate mtu sahih mnayeendana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ