Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

Kuingiza hela unaweza kuingiza hata kwa kuua watu. Binadamu aliyekamilika haangalii kuingiza hela tu, bali unaingiza hela kwa njia gani.
Muhimu pesa
 
hayo makubwa jinga yanajua kuoa na kuacha,ulevi na bla bla nyingi bila akili
 
Huu huenda ndio ukaja kuwa mkataba uliotumia nguvu na ushawishi mwingi ili upate kutekelezwa...

Wahenga walisema, ukiona mshi wawa mwingi, ujue moto umekaribia kuwaka...
 
Sijui ni nini kifanyike. Lakini Picha hii hapa. Hawa watu wameenda Dubai kula maisha na Wakarudi hapa kuja kupigia chapuo DP world. Hii ni hujuma zidi ya Watanzania.

View attachment 2666193
Du mswahili bwana, uvumilivu wake mdogo tu.
Mpenyezee rupia anatoa kila kitu!
Sasa huyu Kitenge kahongwa kwa mabegi ya makaratasi ataimbe kuisifu DPW mpaka kaburini.
 
Hao ni wabunge wa majimbo gani kwani? Wana impact gani kwenye maamuzi ya kuingia mkataba na DPW?

Naomba kujuzwa.
 
Wamepewa suti za bure na nepi wamewekewa kwenye hiyo mifuko , wanadalalia nchi yao.

Pathetic.
 
Mandonga angepelrkwa naye kuongeza nguvu huko
Ehh na pierre,mobeto,mwijaku,baba levo hao si ndiyo wanao wa,inspire nyie wabongo

Ova
 
Katika nchi ambayo imewaingiza katika historia viongozi wake wa kijadi kuwa waliipambania nchi dhidi ya ukoloni wakati ukweli ni kwamba viongozi hao walikua ni madalali wa wa kutafuta, kukamata watu na kuwauza kama watumwa, na walichokipigania ni kuona masoko yao ya kuuza watumwa yanaingiliwa, ulitaraji watu wenye hizo mentality wasiwepo hadi leo? Hao akina Maul8d, Zembwela na Hando ni Madalali wa viongozi katika kuinadi nchi
 
"Changamoto kubwa ya ulimwengu wa sasa ni kwamba, wenye akili nzuri hawataki kujihusisha na siasa, na hivyo wajinga wamepewa mamlaka ya kutawala wenye akili na wasio na akili".
By Donald Trump.
Donald Trump !! Mtata sana jamaa. 😂 !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…