Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 822
- 2,966
Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida
Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu.
Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na mapaja ya mama ake.
Tena kosa kubwa ni kwamba huyu anaefanya hivi anashabikiwa mitandaoni na ana wafuasii wengi sana kupelekea kuonekana haya ni ya kawaida.
Janga kuu linakuja, kizazi cha watoto wafuska na mashoga (anabeli)