Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

Haya mambo haya...

Tukienda kwenye sababu za kibaiolojia, mama kukaa hivyo na mwanae sio vizuri hata kidogo hasa akiwa wa kiume. Hapo atleast dogo bado hajabalehe, lakini akishabalehe, dogo ataanza kuchezesha macho.

Then guess what next...

Mimi nilienda kwa hadzabe mbona wanakaa hivyo. Achana na kina dudukwe
 
Kila vazi na maeneo yake ila maadili ndio yamefanya iwe hivyo. Sio kila ulivyovaa maeneo fulani yapaswa kuonwa na kila mtu. Umeenda beach au klabu ya usiku unaweza kuvaa kwa mazingira hayo ila sio kila vazi ulilovaa huko upige picha usambaze kwa public.
Mbona unasema nilichosema. Kila vazi na mahali pale. Kavaa kaptura kaposti kwenye social media zake. Nyinyi mlio na maadili kaeni mbali na pages za watu kama hao.
 
1783266525727.png
 
View attachment 3621949

Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida

Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu.

Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na mapaja ya mama ake.

Tena kosa kubwa ni kwamba huyu anaefanya hivi anashabikiwa mitandaoni na ana wafuasii wengi sana kupelekea kuonekana haya ni ya kawaida.

Janga kuu linakuja, kizazi cha watoto wafuska na mashoga (anabeli)
Nillitaka niweke single mothers ila nikakumbuka huwezi hukumu kundi Kwa ujinga wa wachache
 
Kongoro na chips kavu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Zamani wanawake wa Tanzania walikuwa wapumbavu wanaume wajinga.

Saizi watanzania wengi ni Vichaa.
Tumetoka kwenye ujinga na Upumbavu tumeenda kuwa vichaa.
 
Mnalia lia bure tu, hapo hio picha hamna la ajabu ni mindsets zenu tu. Tatizo la wabongo wengi ni "exposure", hawatembei kuona wenzetu wanaishije , wakishaenda Mlimani City basi wanaona wamemaliza. Wajaribu kutembelea ma beach ya nguvu kama kule Copa Cabana, Cancun au hata hapo Cape Town ndio watajua kua hio picha hamna kitu chochote hapo . Acheni kuwapangia watu maisha, kama wewe ulikulia uswahilini maushungi hadi puani hilo tatizo lako ,tupo 21st century hii.
 
Hizo ni mindset tuu mkuu. Relax.

Kule kwa bushmen na kina dudukwe wanakaa uchi.
Nguo zimekuja juzi tuu hapa.

Sio kama nawatetea ila nazungumzia mindset ndio inaamua maadili na desturi
Leo ndo umeongea point toka ujiunge na jf, hongera sana mkuu
 
Back
Top Bottom