Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Sahihi, watu wanaacha kupangiana kwenye mambo yanayoathiri maisha ya wote kama usafi mitaani halafu wanapangiana kwenye mambo yasiyoathiri maisha ya mtu yeyote kabisa kama mavazi.Hii kupangiana vya kufanya ndio imeturudisha nyuma kama taifa