Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

Huyo mtoto wa kiume angepiga picha hivyo na mwanamke asiye mama au ndugu yake au ingekuwa ni sawa kimaadili?

Angepiga picha hiyo na baba yake au mwanaume mwingine
ingekuwa ni sawa kimaadili?
As for me,kama mzazi mwenye watoto wa kiume siwezi kupiga picha au kuruhusu wapige picha na mtu ktk pozi hilo.

Hilo la kupiga picha na mwanamke asiye mama yake wakiwa hivyo siwezi kulisemea kwa wengine ila kwangu siwezi kuruhusu ujinga huo
 
Wewe unaweza kuwapangia watoto wako chochote unachotaka mradi huvunji haki zao za msingi za kibinadamu, ila huwezi kuwapangia wengine waishi kama familia.
 
Mnaotetea upuuzi mbona inapofika kwenda kanisani ,msikitini ,maofisini hamuendi hivyo? Kama kweli mnasimamia mnachokiamini (sijui mindset) vaa hivyo mapaja nje nje halafu ukamueleze sheikh au mchungaji hiyo mindset yako.

Sehemu za ibada mnajisitiri vizuri halafu mtaani mapaja nje nje kama sio upumbavu ni nini?
 
Kwani huyo mama na mwanae wako Msikitini/Kanisani? Kila vazi na maeneo yake.
 
Kuna Wakatoliki ambao huwa wanaenda kanisani wakiwa wamelewa?

Kuna wanaume ambao huwa wanaenda makanisani na misikitini wakiwa wamevaa bukta , kaptula au vinjuga?
 
Wazazi wanaharibu watoto wenyewe, inaweza kua huyo ni single maza pia.
 
Kwani huyo mama na mwanae wako Msikitini/Kanisani? Kila vazi na maeneo yake.
Kila vazi na maeneo yake ila maadili ndio yamefanya iwe hivyo. Sio kila ulivyovaa maeneo fulani yapaswa kuonwa na kila mtu. Umeenda beach au klabu ya usiku unaweza kuvaa kwa mazingira hayo ila sio kila vazi ulilovaa huko upige picha usambaze kwa public.
 
View attachment 3621949

Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida

Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu.

Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na mapaja ya mama ake.

Tena kosa kubwa ni kwamba huyu anaefanya hivi anashabikiwa mitandaoni na ana wafuasii wengi sana kupelekea kuonekana haya ni ya kawaida.

Janga kuu linakuja, kizazi cha watoto wafuska na mashoga (anabeli)
You're very much entitled to your opinion but seriously there nothing wrong with that picture.
Hao wote siwafahamu lakini inaonekana kama ni mama na mwana having precious moments.
 
Kuna Wakatoliki ambao huwa wanaenda kanisani wakiwa wamelewa?

Kuna wanaume ambao huwa wanaenda makanisani na misikitini wakiwa wamevaa bukta , kaptula au vinjuga?
Sio kila jambo unalofanya hata kama ni halali linapaswa kuonwa na public. Ni kama tu mamiziki ya mabongo fleva mengine unavyoyaona hayafai kutazamwa na watoto.
 
View attachment 3621949

Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida

Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu.

Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na mapaja ya mama ake.

Tena kosa kubwa ni kwamba huyu anaefanya hivi anashabikiwa mitandaoni na ana wafuasii wengi sana kupelekea kuonekana haya ni ya kawaida.

Janga kuu linakuja, kizazi cha watoto wafuska na mashoga (anabeli)
 
Sio kila jambo unalofanya hata kama ni halali linapaswa kuonwa na public. Ni kama tu mamiziki ya mabongo fleva mengine unavyoyaona hayafai kutazamwa na watoto.
Hujajibu swali
 
Hujajibu swali
Jibu ni kwamba hakuna mtu anaenda kanisani akiwa amelewa ,hata kama kunywa pombe hakuna shida lakini je kila mlevi akijirekodi amelewa huko baa na kusambaza kwa public je ni sawa hiyo?
 
Mlevi akijirekodi Bar na kurusha public ni maisha yake binafsi, labda madhara ni kuhamasisha ulevi ambao una madhara kwa wafya, picha ya mwanamke aliyevaa kaptula na vesti akiwa na mtoto wake haina madhara yoyote kwa jamii.

Hata hivyo swali nililokuliza kuhusu kwa ni wakatoliki hawaendi kanisani wakiwa wamelewa wakati wanaruhusiwa kunywa pombe ni baada ya wewe kuuliza kwa nini watu hawatembei na boxer mtaani.
 
Picha haina madhara kwa jamii ya umri gani? Kijana mdogo wa kiume labda umri miaka 13 na dada yake ukiwakuta wamekaa hivyo nyumbani ni sawa?

Ndio maana watoto wadogo wanakuwa na muongozo kwenye kutumia mitandao ili kuepukana kuona na picha kama hizi maana kwao ni rahisi kuiga kwa namna tofauti.
 
Uko sahihi. Tena inabidi tumkumbushe kuwa sisi waafrika hii ndiyo ilikuwa asili yetu. Wanawake walikuwa wanajifunga ka-nguo kiunoni na matiti nje. Nina babu yangu marehemu sasa hivi alinisimulia enzi zao mambo yalivyokuwa. Kunyonyesha mama ananyonyesha mtoto kwenye basi, sokoni bila tabu. Siku hizi kuna wanaoona jambo la ajabu mama kunyonyesha kwenye hadhara. Watu wanashindwa kutenganisha kati ya umalaya, maadili na nguo fupi.

Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom