Hii picha moja tu imejumuisha tatizo kubwa lililopo ndani yetu vijana wa kileo

Stability

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
822
Reaction score
2,966

Tume normalize mipaka iliowekwa kati ya ufuska na ukawaida

Tume haribu kuta zilizokuwa zimewekwa kati ya utupu na watoto wetu.

Hauwezi piga picha ya namna hii alafu mtoto wa umri huo mipaja imetoka na ameishikilia. Mipaja hii itaonekana katika public, yani akionwa huyu dogo anakumbukwa na mapaja ya mama ake.

Tena kosa kubwa ni kwamba huyu anaefanya hivi anashabikiwa mitandaoni na ana wafuasii wengi sana kupelekea kuonekana haya ni ya kawaida.

Janga kuu linakuja, kizazi cha watoto wafuska na mashoga (anabeli)
 
Mimi nikiyaona matako kubwa tu nimekita nanga hapo wewe utapiga filimbi zako za Jeshi au Refarii na kunionyesha kadi zako za njano na nyekundu mimi naangalia matako makubwa hayo mengine hayanihusu mkuu
 
Hizo ni mindset tuu mkuu. Relax.

Kule kwa bushmen na kina dudukwe wanakaa uchi.
Nguo zimekuja juzi tuu hapa.

Sio kama nawatetea ila nazungumzia mindset ndio inaamua maadili na desturi
Haya mambo haya...

Tukienda kwenye sababu za kibaiolojia, mama kukaa hivyo na mwanae sio vizuri hata kidogo hasa akiwa wa kiume. Hapo atleast dogo bado hajabalehe, lakini akishabalehe, dogo ataanza kuchezesha macho.

Then guess what next...
 
Kama kuna nchi iliyoongoza kwa kufuru ni Italia. Leo ni miongoni mwa nchi yenye uchumi imara zaidi. .

Wengine Roma haikujengwa kwa siku moja

Mchawi Mindset .
 
Mtoa mada kwaio kinamchomzuia kijana kumtamani mama yake ni nguo? Kwaio maadili ya mtu yameshikiliwa na nguo zinazoficha nyuchi zetu na si molars au common sense?

Hii ni shida ya tamaduni zetu za shame culture. Maadili yetu hayatoki akilini na moyoni bali ni superficial. Ilitakiwa iwe akili ya kawaida kulingana na nature laws kwamba huruhusiwi kumtamani mama yako! Basi hata nyani na kundu lake kuwa nje lakini katuzidi akili!!!
 
Hizo ni mindset tuu mkuu. Relax.

Kule kwa bushmen na kina dudukwe wanakaa uchi.
Nguo zimekuja juzi tuu hapa.

Sio kama nawatetea ila nazungumzia mindset ndio inaamua maadili na desturi
Uko sahihi. Tena inabidi tumkumbushe kuwa sisi waafrika hii ndiyo ilikuwa asili yetu. Wanawake walikuwa wanajifunga ka-nguo kiunoni na matiti nje. Nina babu yangu marehemu sasa hivi alinisimulia enzi zao mambo yalivyokuwa. Kunyonyesha mama ananyonyesha mtoto kwenye basi, sokoni bila tabu. Siku hizi kuna wanaoona jambo la ajabu mama kunyonyesha kwenye hadhara. Watu wanashindwa kutenganisha kati ya umalaya, maadili na nguo fupi.
 
Tume haribu. Hivi haya ni maneno mawili au inabidi liwe neno moja yaani tumeharibu. Au mimi ndiyo nazeeka sasa
 
Haya mambo haya...

Tukienda kwenye sababu za kibaiolojia, mama kukaa hivyo na mwanae sio vizuri hata kidogo hasa akiwa wa kiume. Hapo atleast dogo bado hajabalehe, lakini akishabalehe, dogo ataanza kuchezesha macho.

Then guess what next...
Mbona wazungu wanafanya hivyo na madogo hata wakibalehe hawachezeshi macho? Unakuta mama kavaa bikini anacheza mpira beach akiwa na wanae? Hii inategemea na makuzi yako. Ukizaliwa kwenye jamii ya aina hiyo, hakuna cha ajabu.
 
Haya mambo haya...

Tukienda kwenye sababu za kibaiolojia, mama kukaa hivyo na mwanae sio vizuri hata kidogo hasa akiwa wa kiume. Hapo atleast dogo bado hajabalehe, lakini akishabalehe, dogo ataanza kuchezesha macho.

Then guess what next...
Kibaolojia mtoto wa kiume hata mtu mzima kabisa hata akimuona mama yake na chupi tu ni vigumu kumtamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…