Kama unaelewa exponential growth utaelewa inajaa vipi.Dunia inajaa vipi, miaka bilioni 4 iliyopita haikujaa ije kujaa leo?
Unajuaje kuzaliwa kwa viumbe hai na vifo vinavyobalansi nafasi ya dunia kutojaa?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Naelewa kuna wanaochoma kama tamaduni yao, hao baniani na wengine mimi naona ni pagansWewe una elimu ndogo ya dunia tu.
Hujui tamaduni za sehemu nyingi watu wanachoma?
Hujui hao wazungu waliokuleteeni Ukristo nao wanachoma?
Hujui kwamba tukianza kujadili cults hata hizo dini mnazoziamini nazo mimi nikitaka kuziita cults naweza?
Kinachotofautisha dini na cult ni nini zaidi ya namba ya watu na miaka tu?
Unajua kuwa hata hizo dini zenu zilivyoanza zilikuwa zinaitwa cults?
Unajua hizo tamaduni zako nazo kuna watu wanaziona cults tu?
Sasa unapojiona uko beyond cults, wewe mwenyewe unajuaje haupo katika cult uliyoikubali tu kuwa ni dini yako au utamaduni wako?
Unaelewa kwa nini neno la utamaduni kwa Kiingereza, "culture", linaanza na "cult"?
Unajua kwa nini kwenye Kiswahili neno "ustaarabu" linataja "arabu"?
You are not your body or mind.
So nakubali kuchomwa itafaa zaidi maana unakuwa umesoeed up kusambaratishwa kwa mwili na pia kumtunza mazingira na space
Utamaduni wetu, wewe na nani?Ni sawa lakini utamaduni wetu uoni kama ni tofauti ni tukio hilo.
Nimekuelewa sana Hoja yakoWwnzetu sometimes ardhi huwa inaganda inakuwa haichimbiki. Wakaamua kuchomana. Ila kuwe na kuni za kutosha, si kuchomana nusu nusu kama wahindi.
Maiteki. Kuchomana kuzuri kuliko kuzikana kwenye majeneza. Kunaokoa ardhi, pia maiti zilizozikwa zinatabia ya kuchafua maji ya chini ya ardhi.
Naelewa kuna wanaochoma hao baniani n wengine mimi naona ni pagans
Wazungu kuchoma imekuja badae na sio kwa ukubwa huo na ndio hao wapo kwenye hiyo cult na wamachama wao huku Afrika.
Mbona mtu wa kawaida huku Afrika hachagui kuchomwa ni wale tu waliokuwa na exposure ya huko nje huo ni cult.
Taratibu zetu, wewe na nani?Nimekuelewe na umechambua vema lakini kani sehemu alipozikwa mtu baada ya miaka mia moja kuna shida gani akizikwa hapo mwingine...?
Nakubaliana na kuchukua vya wengine lakini visivyofaa au vinavyokinzana tamaduni na taratibu zetu si vema kuzichukua.
Vipi huko ughaibuni ulipo ni asilimia ngapi wanachomwa....?
Waliokufa hawana hijara / ushirika kati ya walio hai .. mtu anikumbushe ni mstari gani kwenye biblia..
Afu ishu ya kuzikwa udongoni au kuchomwa moto kwa marhemu .. ni tamaduni za jamii husika..
Kwa mfano maziko ya wafalme walioitawala misri yaani mafarao walikuwa wanafanyiwa mummification.. na ndio yake ma piramidi tunayaona kule karibia na mto naili
Utamaduni wetu, wewe na nani?
Kila mtu hapa duniani ana utamaduni wake mwenyewe.
Hii kusema "Utamaduni wetu" ni fikra finyu.
Unaonekana hujaelimika vya kutosha. Umekosa cultural awareness.
Neno "pagans" kama ulivyolitumia hapa, ni neno offensive, ni tusi, kifupi ni neno linaloonesha ujinga wako.
Ni neno la kikoloni lililotumika na dominant culture, hususan wazungu wakristo, kuwabagua, kuwadogosha na kuwanyanyapaa watu wa tamaduni tofauti na wao.
Katika dunia ya leo, watu waliosoma na kuelimika, wameacha kulitumia kama unavyolitumia hapa.
Yani ukikaa na watu wenye ma PhD ya sociology na anthropology halafu ukalitymia neno hilo hivyo, wote wataangakiana na kujua hapa tumekaa na country bumpkin ambaye hajaelimika na hajajua kuwa hili neno kulitumia hivi ni kuwa offensive na ignorant.
Kwa sababu, kiukweli, hao unaowabagua, unaowanyanyapaa kwa kuwaita pagans, na wao wakitaka kujipa superiority, watakuita na wewe pagan kutoka mtizamo wa imani yao, kwa sababu huamini sawa nao.
Na unawaita pagans mostly bila kuwajua, hujasoma Bhagavad-Gita, hujqsoma The Uppanishads, hujasoma The Sitras, hujasoma Dhamapada. Una kasumba ya kubagua watu kwa superiority ya ujinga tu.
Most probably unajua ulichorithi kwa wazazi wako tu.
Kwa hiyo huu ni ujinga wa kujipa umuhinu usio nao tu, ni superiority complex ya kijinga tu. Nikikubana uthibitishe dini yako ndiyo ya kweli na yao si ya kweli huwezi kuthibitisha hilo.
Nimekuuliza hapo juu unapoita imani za watu cults, cult ni nini, na kwa nini wewe mwenyewe unafikiri haupo katika cult?
Hujajibu.
Kwa nini zamani iwe ndio kipimo cha utamaduni?Utamaduni wa Kitanzania toka zamani kwenye makabila yetu uliona nani anachoma.
Hiyo imani hako inayoanzia kwa Yesu huwezi kuthibitisha ni ya ukweli zaidi ya hizo imani nyingine.Mimi sipo kwa cult kwa sababu Imani yangu Katoliki route yake inazanzia kwa Yesu mwenyewe.
Hizo dini za huko Asia nyingi hazieleweki na ndio maana sio kosa kuita ni Pagans.
Kwa hiyo Wazee wetu walichagua baadhi ya mambo mazuri toka kwa wazungu wakaenda nayo yale mabaya wakayaacha na hata Wazungu walikuwa makini sio mambo yote ya kwao waliyaleta kipindi kile. Ni sasa tuu kwa sababu ya utandawazi.
Hiyo ya kuchomwa inaenda kinyume na asiliKwa nini zamani iwe ndio kipimo cha utamaduni?
Zamani sio kipimo cha utamaduni.
Kuzika watu ardhini sio utamaduni wa kitanzania tu.
Hata mataifa mengine wanazika watu wao ardhini.
Na hata wanyama wakifa huzikwa ardhini
Kuzika mtu ardhini sio jambo la utamaduni wa Tanzania tu.
Na hata mtu akichagua kuchomwa ni utaratibu wake.
Hiyo imani hako inayoanzia kwa Yesu huwezi kuthibitisha ni ya ukweli zaidi ya hizo imani nyingine.
Huwezi kuthibitisha Mungu wa Ukristo yupo kweli na si wa kutungwa na watu walioanzisha cult tu.
Kama unabisha, thibitisha Mungu wa Ukristo yupo kweli.
Tena mtu anaweza kusema nyie Wakatoliki ni cult la kuwabaka watoto mnawalinda watawa wanaobaka watoto.
Hata kuchoma ina asili yake.Hiyo ya kuchomwa inaenda kinyume na asili
Unaweza ukafufuka tena aiseh!!
Hata kuchoma ina asili yake.
Wewe ni mjinga. Una superiority compkex kwa dini iliyokufanya wewe mtumwa.Kuchoma ni Cult mkuu tu stick kwenye hoja hii ndio maana mtu mwenye utimamu hawezi kuchagua hii.
Kusema juu ya Watawa kwani kwenye community hayo mambo hayapo ? ni tabia ya mtu na sio generalisation.
Mungu yupo jana, leo na hata milele.