Mungu Atakalo Huwa Na Hana Mshauri!
Kila kitu ni Mali Yake!
Kabsa mkuu kuna mda huu ukwel utajulikanaKama hakuvileta sawa atleast itamake sense..lakini kama ni kweli alivileta anaonekana ni dhaifu sana maana kifasihi tunasema Fanani ameshindwa kufikisha ujumbe aliokusudia kwa hadhira yake.
Unauma uma maneno ya nini?!Mungu atakalo huwa katika kanuni zake alizojiwekea, Mungu hawezi kumfanya baba yako awe wewe na wewe uwe baba kwakuwa jambo hilo litaenda kinyume na kanuni zake.
Hawana freewill? Waliwezaje kumuhoji Allah alivyo muumba Adam ?Malaika hawana freewill na ndio maana wao maisha yao yote wanaishi peponi
Vizuri umeweka wazi , wale waislamu walikuwa wanadanganya Uislam ulianzishwa na Adam , mara Ibrahim waache mara mojaUisilamu ulianzishwa na mtukufu mtume Muhammad (saw)
Unauma uma maneno ya nini?!
Tamka sasa kwamba!; "MUNGU ATAKALO HAWEZI NA ANAE MSHAURI!"
Mfano wako sio sawaMungu hawezi kutaka kitu asichoweza, mfano Mungu hawezi kutaka kuumba Mungu mwingine awe sawa naye kwa kila kitu.
Vizuri umeweka wazi , wale waislamu walikuwa wanadanganya Uislam ulianzishwa na Adam , mara Ibrahim waache mara moja
Acha janja janja neno lako litabaki kama lilivyo hakuna ku editNgoja niwe specific kwamba ninaposema Uisilamu katika muktadha huu maana yake ni Dini ya uisilamu, Uisilamu kwa maana ya unyenyekevu (submission to the will of God) huo umeanzia kwa Nabii Adam (as) kisha ukaja kwa manabii wote.
Kuna Uisilamu kwa maana ya unyenyekevu na manabii wote walikuwa ni wanyenyekevu kwa Mungu hivyo wanakuwa waisilamu ingawa dini zao hazikupewa jina Islamu ni katika hali hiyo hiyo Mtume mtukufu Muhammad (saw)naye alikuwa mnyenyekevu kwa Mungu lakini Yeye Dini aliyokuja nayo imepewa na Mungu jina Islam hivyo Mtume (saw) anakuwa Muisilamu kwakuwa kwake mnyenyekevu pia anakuwa Muisilamu kidini kwakuwa dini yake ni Islamu, dini yenye nguzo 5.
Nadhani hapo nimefanunua vyakutosha.
Mfano wako sio sawa
Mfano wako sio sawa kabisa tafuta mfano mwingine ,Labda niseme hivi; Mungu hawezi kutaka kitu kitakacho mvunjia utukufu wake na heshima. Mfano ndio huo kwamba Mungu hawezi kutaka kuumba Mungu mwingine wafanane naye kwa kila kitu, hilo haliwezekani kwake kwani sifa kuu ya Mungu ni upekee, umoja, oneness na hakuna kitu kinachoweza kufanana naye isitoshe hata kama ataweza kumuumba huyo Mungu hawataweza kufanana kwani huyo aliyeumbwa atakuwa bado ni kiumbe wake hivyo asilani Mungu hawezi kuumba Mungu mwingine kama yeye na wafanane kila kitu ndio maana nasema hawezi kufikiria kutaka kufanya jambo hilo kwakuwa hawezi kulitekeleza.
Acha janja janja neno lako litabaki kama lilivyo hakuna ku edit
Mokaze said "Uisilamu ulianzishwa na mtukufu mtume Muhammad (saw)"
Mfano wako sio sawa kabisa tafuta mfano mwingine ,
Mfano nikuulize swali
Allah anaweza kuwa na mwana bila mke ?
Allah amesema ndio anawezaNa mimi nikuulize Allah (Mungu) anaweza kuoa??!!
Kwenye mjadala unatakiwa useme nimefuta kauli ili tuchukue mpyaWewe umezoea fanatism ndio maana hutaki kuelewa. Mimi nimekufafanulia kitu ambacho hata baadhi ya Waisilamu hawakijui.
Uisilamu wenye nguzo 5, ndio ulioanzishwa na mtukufu mtume Muhammad (saw).
Kwenye mjadala unatakiwa useme nimefuta kauli ili tuchukue mpya
Kauli Yako
Mokaze said "Uisilamu ulianzishwa na mtukufu mtume Muhammad (saw)"