Huna uungwana kwenye kujadilianaHiyo kauli SIIFUTI KAMWE isipokuwa nimeiongezea nyama kwamba Uisilamu huo aliouanzisha mtume (saw) ni ule uliojengwa katika nguzo 5.
Kifupi sijakosea isipokuwa maelezo yangu juu ya huo uisilamu aliouanzisha mtume (saw) hayakujitosheleza na wewe ndiye uliyefanya nikatambua hilo, hivyo nawiwa shukrani kwako. Asante.
Mkuu,Bado hujakutana na mtu anaitwa Kiranga ndo utazidi kuchanganyikiwa [emoji23][emoji23]
Malaika au horisAmesema anaweza kumuoa nani??
Huna uungwana kwenye kujadiliana
Kauli Yako imesema ameanzisha sio ameendeleza na kuboresha
Kauli Yako
Mokaze said "Uisilamu ulianzishwa na mtukufu mtume Muhammad (saw)"
Koran inasema Islam sio Imani Bali ni ku surrenderUnataka niwe muungwana kwa kiwango kipi Mchungaji Mokiti ??!.
Ni kweli Mtume mtukufu kaanzisha Uisilamu (dini ya kiisilamu) na Uisilamu huo umejengwa katika nguzo 5, Nguzo ya kwanza ni shahada, inayoshuhudi Allah mmoja na Muhammad (saw) kuwa ni mtume, pia nguzo nyingine.ni kwenda kuhiji makka, hizo nguzo mbili mitume wengine wote hawakutekeleza achilia mbali hizo tatu zilizobaki, hivyo utaona hao mitume wengine walikuwa waisilamu kwa maana ya unyenyekevu kwani maana nyingine ya Islam kwa kiarabu ni kunyenyekea hivyo Mtume mtukufu (saw) naye alikuwa mnyenyekevu kama hao manabii wengine isitoshe Dini aliyokuja nayo pia Allah kaipa jina hilo hilo la "Islamu" na dini hiyo ndiyo imejengwa katika hizo nguzo 5, sasa niliposema Mtume (saw) alianzisha Uisilamu maana yangu ilikuwa ni huo Uisilamu wenye nguzo 5 na sio vinginevyo.
Hivyo sijakosea isipokuwa maelezo yangu hayakujitosheleza.
Nataka mtu Niki debate nae awe anajua maandiko , hii maana yake huijui KoranLete hilo andiko.
Koran inasema Islam sio Imani Bali ni ku surrender
Allah alikwambia nyie hamna Iman ila mme surrender
Ndio nakubali Allah kasema Uislamu ni kujisalimisha , na sio faith ,Surrender ndio submission ndugu π€£, yaani kujitupa, kunyenyekea nk mbele ya Allah, Imani ndio matokeo ya Submission kwa Allah, hivyo mtu anaweza kusilimu (to be muslim) lakini Imani (faith) wakati huo ikawa bado kuingia moyoni.
Tofautisha kati ya Kusilimu na kuwa na imani, imani inakuja baada ya kutekekeza matendo ya kiisilamu.
Hiyo maana yake Uislamu watu wanaingia bila kuamini ,Surrender ndio submission ndugu π€£, yaani kujitupa, kunyenyekea nk mbele ya Allah, Imani ndio matokeo ya Submission kwa Allah, hivyo mtu anaweza kusilimu (to be muslim) lakini Imani (faith) wakati huo ikawa bado kuingia moyoni.
Tofautisha kati ya Kusilimu na kuwa na imani, imani inakuja baada ya kutekekeza matendo ya kiisilamu.
Faith au Imani katika dini ndiyo inamfanya mtu awe mfuasi wa dini hiyoTofautisha kati ya Kusilimu na kuwa na imani, imani inakuja baada ya kutekekeza matendo ya kiisilamu.
Uliuliza swali juu ya swali , ungejibu Allah anaweza kuwa na mwana bila mke?Na mimi nikuulize Allah (Mungu) anaweza kuoa??!!
Faith au Imani katika dini ndiyo inamfanya mtu awe mfuasi wa dini hiyo
Ku surrender ni kutumia nguvu kumuingiza mtu kwenye dini ambayo hana Imani nayo na mnamwambia baadae Imani itakuja je isipo kuja?
Hiyo maana yake Uislamu watu wanaingia bila kuamini ,
Imani ndio inamfanya mtu kumfuata Mungu ila Kwa Uislamu Imani Haina mashiko
Usiandike ma inshaKuna kusilimu yaani kuingia katika dini ya kiisilamu (dini yenye nguzo tano) na baada ya kuingia mtu anatarajiwa apate mafundisho ya dini ili imani iingie ndani ya moyo wake, mtu anaposilimu (kuwa muisilamu) jambo la kwanza LA MSINGI katika imani anatakiwa atoe shahada;- "Nashuhudia ya kwamba hakuna Mungu isipokuwa Allah mmoja asiyekuwa na mshirika, nashuhudia kwamba Muhammad ni mtumishi na mtume wake"--- hiyo ndio shahada mtu anatakiwa atamke mara aingiapo katika dini ya kiisilamu, hapo utaona mtu anakuwa na imani ya mambo mawili yaani, Allah ni mmoja bila mshirika na Muhammad ni mtumishi na mtume wake, sasa kuna mambo mengi zaidi ya hayo mawili katika Dini ya Uisilamu ambayo inampasa aliyesilimu ajifunze ili imani yake ijengeke zaidi kwenye mambo mengine, mfano Swala, funga, hijja ndoa, matendo mema nk, mambo hayo ndiyo yanayojenga imani moyoni, ndio maana inasemwa kusilimu (kutoashahada) tu hakutoshi ni hadi pale mtu atakapojibidisha katika mafunzo ya mambo mengine ndipo imani itaingia moyoni.
Got me ??!
Faith ni nini?Kuna kusilimu yaani kuingia katika dini ya kiisilamu (dini yenye nguzo tano) na baada ya kuingia mtu anatarajiwa apate mafundisho ya dini ili imani iingie ndani ya moyo wake, mtu anaposilimu (kuwa muisilamu) jambo la kwanza LA MSINGI katika imani anatakiwa atoe shahada;- "Nashuhudia ya kwamba hakuna Mungu isipokuwa Allah mmoja asiyekuwa na mshirika, nashuhudia kwamba Muhammad ni mtumishi na mtume wake"--- hiyo ndio shahada mtu anatakiwa atamke mara aingiapo katika dini ya kiisilamu, hapo utaona mtu anakuwa na imani ya mambo mawili yaani, Allah ni mmoja bila mshirika na Muhammad ni mtumishi na mtume wake, sasa kuna mambo mengi zaidi ya hayo mawili katika Dini ya Uisilamu ambayo inampasa aliyesilimu ajifunze ili imani yake ijengeke zaidi kwenye mambo mengine, mfano Swala, funga, hijja ndoa, matendo mema nk, mambo hayo ndiyo yanayojenga imani moyoni, ndio maana inasemwa kusilimu (kutoashahada) tu hakutoshi ni hadi pale mtu atakapojibidisha katika mafunzo ya mambo mengine ndipo imani itaingia moyoni.
Got me ??!
Usiandike ma insha
Uislam hakuna Imani Yani mtu aamini ila Kuna kujisalimisha na kujisalimisha kimetokana na Muhammad alivyokuwa anawaambia watu jisalimishe au ufe kwa upanga
Option zilikuwa
Jisalimishe Yani Uislamu
Au ufe kwa upanga