Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

Huu ni unafiki grade one broh.

Yani umetongoza demu ukijua ni mke wa mtu, mkapanga appointment kabisa, mmewasiliana mpaka akafika. Then unasema hukuwa na mzuka nae kwasababu wewe na wake za watu ni vitu viwili tofauti? Seriously? 😅😅
 
dronedrake
 
Ushauri wa hivi unapelekea mizania kuwa hivi:-
Kataa ndoa - 3
Ndoa - 0
 
Kataa ndoa 3 - 0 Mtoa post, Half time now
 
Yani ni balaa kwakweli, wife unamwambia achana kuwasiliana na x wako, anakwambia na ww hujakatazwa kuongea na ma-x wako😭😭 unaangalia panga unalizoooom unaishia kusema Ee! Mungu niongoze🤣
Huna mke hapo!
-HAkupendi
-HAkuheshimu
-HAkuogopi
-HAkutaki
-HAkujali
-HAkuthamini
-HAna hofu ya Mungu
-HAkuhitaji
Inauma ila ndo ukweli,
Hata kama hutaki kumuacha, ATAKUACHA au UTAMUUA.
Sasa ya nini shida?
KUACHWA UTAACHWA TU, MUACHO MMOJA SAF SANA!WENYE DHARAU NA KEBEHI JUU MAANA HANA STARA HUYO.

Sasa unasave nini?
Nyumba mmepanga, INUKA Muache akae hapo, endelea kutunza watoto kama mmezaa!

MMEJENGA, fuata utaratibu wa mahakama unaeleza wazi kuhusu magawanyo wa mali!
Kama vipi muachie tu!
OKOA NAFSI YAKO!
 
Hii scenario nilikutana nayo wakati natoka Mbeya-Dar. Baada ya mwaka mpya kupita gari zilikuwa zimefull sana na ilikuwa lazima niwahi mjini ikanilazimu kupanda zile ndinga za Zambia-Dar kubwa.

Sasa kwenye gari tulikuwa na mshua mmoja age yupo kwenye 50 nadhani, akawa anaongea na wake zake tofauti tofauti halafu ni mabinti wadogo wazuri sana, nikabaki nimeduwaa.

Ndipo akanipa mkasa wake kwamba ana rafiki yake ni mtaalamu wa kudili na watu traditionally hivyo kila akioa huwa ni lazima amfuate ampe dawa awarekebishe wake zake kiasi kwamba wanakuwa hawawezi kucheat wala kuwaza kuhusu mwanaume mwingine, aisee nilishangaa sana.

Aliniambia mambo ambayo yalinifanya nibaki naiheshimu mno ndoa na kauli yake ambayo aliniachia ni kwamba [emoji116]

"Usasa utakuua mdogo wangu, ndoa inahitaji maamuzi magumu sana ili kuhakikisha mkeo anatulia"


NB
Mnatutisha sana na hizi nyuzi wakuu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Umenisanua mkuu, nilikuwa na demu nataka nimtolee barua April lakini nimesogeza mbele, mwanamke jeuri, ana kila aina ya tamaa ktk maisha, sifa za udangaji huko nyuma mtaa mzima unamfahamu.

Nikaona isiwe kesi, acha nighairishe nisogeze mbele na ikiwezekana niachane nae kabisa.
 
Anakujibu hivyo ukiwa umesafiri haupo karibu nae au mkiwa ana kwa ana?
Yani ni balaa kwakweli, wife unamwambia achana kuwasiliana na x wako, anakwambia na ww hujakatazwa kuongea na ma-x wako😭😭 unaangalia panga unalizoooom unaishia kusema Ee! Mungu niongoze🤣
 
Jamani mbona Kama umefika mbali😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…