Hizi ndoa mbona ngumu sana au ni kwangu tu?

afu unaonekana kajamaa fulani huna makuu😂😂😂
 
Sasa mapenzi gani ya kumshika mwenzako akili? Halafu unajisifia unapendwa ama unaishi na mtu uliyemtoa akili akawa kichaa?
 
SHIDA NI IPI HASWA?? KWENYE NDOA YAKO
???
tuanzie HAPO KWANZA
 
Ukiwa na Mke Alafu Yeye Kutwa kucha TikTok Mara Istagramu Kujibinua Mknd ujue umepigwa za Uso na Lazima Udondoke Chini na Refa Anamaliza Mchezo
Kweli kabisa kiongozi kwanza kabisa ukiona mwanamke wako anapenda sana mitandao ya kijamii ujue hapo hauna mke na ukiona mwanamke wako ana marafiki wengi haijarishi kama ni wakiume au wakike jua kua umepigwa hapo
 
Aaah wewe ratiba ya nini? Mungu alijua kuumba hivyo vitu ndio maana hata viwete wanawekwa mgongoni na wenza wao. Yani hapo ni mpaka upate ugeni red 🧚‍♀️
😂Ndoa yako na idumu milele na milele amina, mwanamke unajitambua sana.
 
We si ulipenda Msambwanda na Sura? Washikaji walipokutonya ukasema bora Shape Tabia mtavumiliana? Sasa uvumilivu umekushinda?
Na hii ni sababu kubwa,wengi hawachunguzi tabia,tunaangalia Sura na body morphology kwanza 😀
 
ikizidi miezi 6 jamaa bado anapagawa na wewe inamaana gani?
 
haya mambo ya kupangiwa ratiba ndio huvuruga ndoa, ngumi huweza kutokea kitandani mtu akadundwa kama ataleta ratiba hiyo
Kwanini umdunde wakati akina Aisha, Glory, zaylisa, Lushayna, wamejaa tele huko nje? Tafuta mmoja ukirudi nyumbani akigeukia upande huu wewe unageukia kule maisha yanaendelea cha muhimu tu fumanizi lisitokee pande zote mbili.
 
Asante sana, ndo hvo mkuu ishafika mahala Sasa haiwezekan kuishi pamoja ,
 
Sema pm yangu inasumbua kufunguka ningekuelekeza ufanye mwenyewe ni simple tu na haina gharama kwamba kuna kitu utanunua au mitishamba utafute. Gharama yake ni kinywaji apendacho sana.

Hapa hapaongelewi akili ya kua na Masters Bro, Ndoa ni chuo kingine kabisa
Nami sijamaanisha akili ya vitabu. Nimeuliza hawa wote hawatumii akili? Hio akili ua ndoa mnayoizungumzia. Skia ndoa ni proba tu ukiotea utajisifu ila usimcheke na kumuona hatumii akili yule anaeyumba.
 
Huu ni unafiki grade one broh.

Yani umetongoza demu ukijua ni mke wa mtu, mkapanga appointment kabisa, mmewasiliana mpaka akafika. Then unasema hukuwa na mzuka nae kwasababu wewe na wake za watu ni vitu viwili tofauti? Seriously? 😅😅
Sioni kama kuna sehemu nimeandika kwamba wakati namtongoza nilijua ni mke wa mtu!
Mimi nimekutana naye kwahiyo nikatupa ndoano na mwisho wa siku akanasa ila akaniambia yeye ameolewa hawezi kutoka muda wowote, ila saa moja mume wake atakuwa kwenye mpira kwahiyo atakuwa na nafasi ya kutoka! Nadhani umeelewa mkuu, hata hivyo siyo lazima sana uelewe kuhusu hili, maana halikuongezei kipato
 
Inauma sana,mkeo kuwa demu wa kajamaa fulani!!shida tunaoa mademu za watu na kuwafanya wake zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…