Hizi ni stori za kwenye Biblia ambazo zimeniacha na maswali sana

Nimejibu kama nilivyouliza, sasa wewe una kuja kudandia gari kwa mbele, muislamu hawezi kuamini uongo hata siku moja Kwa sababu ana muongozo sahihi, kama huna hoja usini quote, naongoea na waksto wanaojielewa
🤣🤣 inatakiwa tu! Utumie akili ya kawaida kujua mti mwema ndio uwa unapigwa mawe

Lina umeisha wai kuskia ibada zetu tunawasema waislamu hata kwa dhihaka kwamba ni kafiri
Sie uwa tuna shughulika na mambo yetu,ndio maana kama mnahisi tunapotea mtuache imani hailazimishwi endeleeni kuamini tutaangamia tu bila kutukwaza kwa namna yoyote tuishi hivyo tu
 
He who learns but does not think, is lost! He who thinks but does not learn is in great danger.
When a stupid person wears confidence he turns out to be a mediocre
Stupidity has no confidence

Quran is scam
 
Mkuu umeongea kwa hisia lakini neno kafiri sio tusi kama unahisi ni tusi basi pole sana mkuu, pia sisi hatuwasemi ktk ibada syo wakristo wala wayahudi, neno kafiri lina mtu asiyefuata uislamu na mafundisho yake kwa hiyo wewe kuitwa kafiri ni sahihi ila nyie mnapenda kubalisha topic hata kama siyo baya basi lionekane baya ili waislamu wapate sifa mbaya
 
Nambuer 5, ni maagizo kutoka juu
 
Sasa kufata uislamu ni lazima??....imani yenu inabagua sana wakati Mungu yeye habagui akishusha mvua inamwagia hadi mashamba ya wachawi,majambazi,wezi nk.
🤣😂 sasa nyie hata kuku tukichinja sie hamli eti haramu,wakati hospitali damu wanawaongezea hata damu zetu sisi tunao kula nguruwe
 
Kwa wabobevu wa theology, hapa kwenye uzi huu ndipo mahala sahihi pa ku apply zile concept 2 muhimu.
  • appologetics
  • polemics
 
Sasa unapinga kwa hasira bila kufikiri?
Yesu ninyi mnaulmuita issa na quran imekuja miaka kibao baada ya biblia,jnataka kusema kwamba tuamini kitabu kilichoandikwa hiv karibuni na kukudharau kitabu kilichoandikwa miaka kibao wakati matukio yakitukia.
Kwanza hata quran inatambua kuwa Yesu alizaliwa na bikira

Al imran 3:47
Akasema: Ewe Mola wangu! Vipi nitapata mtoto na hali hajanigusa mwanaume yeyote? Akasema: Hivyo ndivyo Mwenyezi Mungu Huumba apendavyo; Anapohukumu jambo hulisema tu: 'Kuwa!' likawa

Sasa unaweza kutufafanulia kuwa alizaliwaje na bikira?
Kipi kigumu kufanyika kubatizwa au mtu kuzaliwa bila baba?
 
Kama wewe ni Mkristo utakuwa na mchungaji wako. Kwanini usimuulize? La pili ni kuwa Biblia ni Neno la Mungu la wakati wote. Ni neno la milele lakini pia Yesu Kristo ni Neno. Kwa hiyo kama wewe ni mkristo basi ni muhimu kufahamu kuwa Biblia haisomwi kama gazeti. Unapoifungua omba Mungu na unapokutana na maswali muulize Mungu maana hilo ni neno lake. Hayo maswali yako yote yana majibu lakini siwezi kuandika hapa maana sijajua kama kweli wewe una nia ya kujifunza au kukosoa Neno la Mungu.
 
Quruani mnasema imeshushwa. Sasa Mungu huwa hashushi maandiko maana sio dikteta. Anatumia watu kuandika. Hiyo qurani ni maandiko yaliyoandikwa na Lucifer akichukuwa maandiko ya Biblia na kuyageuzageuza ili afikie malengo yake. Lengo kuu ni kuzuia Injili. Lakini kama ambavyo siku zote Lucifer anashindwa hata hiyo ya quruani imeshindwa na Waislamu kwa mamilioni wanamgeukia Yesu Kristo.
 
 
Wewe huna akili kama wenzako, kwanza soma thread ujue ina husu nini kisha angalia unaye m quote kasema nini kisha kama huna hoja ya kueleweka toa hoja yako, yaani kumbe jf wakristo wake wengi hawajui bibilia, kazi ni kujificha ktk kivuli cha Quran, yaani hawataki kabisa kuisikia bibilia na hii ina prove kuwa bibilia ni kitabu cha uongo, sasa ngoja ni WALIPUE WASIO IJUA BIBILIA hao wakristo walio kalilishwa matango pori

1) bibilia siyo maneno ya Mungu bali ni maneno ya Paulo 3:15 wagalatia
2) kifo cha yesu hakiwezi kumuokoa mkristo 24:16 kumbukumbu ya torati, 6:5 wagalatia nk
3)yesu sio MUNGU, hapa aliopo ukana uungu 18:18 luka, 17:3 yohana, 14:28 yohana nk
4) sifa za Mungu ktk bibilia 33:17 kutoka,( Mungu haonekani), 6:16 Timotheo (Mungu haonekani wala hafi),
5:37 yohana (sauti ya Mungu haijasikika), 121: 1-4 Mungu halali usingizi),
1:17 yakobo (Mungu habadiliki)
5) yesu walimpachika uungu hapa
9:5 warumi, 3:6 Timotheo, 2:13 tito
UDHAIFU WA YESU KTK UUNGU
8:22-24 (matayo alilala usingizi )
20:20 matayo (yesu hana uwezo wa kumpa mtu uzima wa milele )
27:46 (yesu ana mlilia Mungu )
33:17 kutoka, 6:16 Timotheo (yesu alikua anaonekana)
Wakuu someni hizi kwanza, hizi hoja hakuna wa kubisha miongoni mwa wanaoijua bibilia, bibilia ni Fallacies tu, nime weka juu ushahidi kuwa YESU sio MUNGU tena kapinga wazi wazi
 
Wagalatia 3:13

Kristo ALITUKOMBOA katika laana ya torati........

neno ALITUKOMBOA linazungumzia wakati uliopita.

Hi ina maanisha kwamba maneno ya Biblia ( sehemu ya agano la kale ) yalikuwepo hata kabla ya Paulo kuzungumza na wagalatia.
 
Wagalatia 3:13

Kristo ALITUKOMBOA katika laana ya torati........

neno ALITUKOMBOA linazungumzia wakati uliopita.

Hi ina maanisha kwamba maneno ya Biblia ( sehemu ya agano la kale ) yalikuwepo hata kabla ya Paulo kuzungumza na wagalatia.
Una maana gani?, maana YESU hawezi ku mkomboa mtu kwa kufa kwake, maana kila mtu ata beba furushi lake mwenyewe, pia huo wakati aliouzungumza ni upi?, note nimetoa maandiko mengi ktk bibilia kuthibitisha huyo YESU sio MUNGU au niendelee kushusha mvua za aya ktk bibilia zinazo kataa UUNGU wa YESU, sio moja na sema zimejaa,

1:17 yakobo (Mungu habadiliki), YESU huo uungu una husika vipi kama syo mchongo wa Paulo?, Eti Mungu sijui baba,sijui mwana aloo nyie acheni fiksi,

kisha hapa YESU sio KRISTO, ndio sijakosea alikataa mwenyewe kuitwa kristo, sasa wewe nani mpaka umwite kristo kasome
hapa 16:20 matayo , 9:18-21 luka

Na nyie mnaosema Eti YESU ni MWANA WA MUNGU , bibilia imekataa kata kata tena Mungu wa bibilia ana wauliza nyinyi kupitia kinywa cha nabii Isaya 50:1 (kwamba ipo wapi talaka ya mama yenu ambayo kwayo niliachana naye?), huna jipya wewe
 
Sasa Kama umeshindwa kunielewa hapo hatuwezi kuendelea mbele, Hicho kitabu chenyewe cha wagalatia hata hujakielewa.

Kiufupi wewe unachukua aya ya kitabu bila kusoma kitabu chote.

Sasa utaielewaje Biblia.
 
Mnabishana na mtabishana sana hapa.
Ila TAFAKARI haya ya chini.

Uislam ulianzishwa miaka 600 baada ya Ukristo.
Ni muongozo wa Dini ya Kiyahudi + Kikristo.
(Wakaunda Dini yao based na fauntation hizo )
Na wakaandika kitabu chao, hakijashushwa wala nn[emoji23][emoji23][emoji23].

Data za 2022 zinasema (google) duniani kuwa 32% ni wakristo
25% ni waislam
Zinazobaki ni dini nyingne.

Nashauri Tuamini tulichoachiwa.

Ila Mungu yupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…