Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Rais Mama Samia wakati anazungumza mipango ya Serikali yake, amezungumzia malengo ktk sekta tofauti lakini alipozungumzia kulisadia kujiendesha shirika la ndege Bunge lote lililizizima kwa dk kadhaa na kuonesha kuwakosha Wabunge.
 
Reactions: BAK
Hata makufuli aliposema elimu itakuwa bure mlikataa...let's keep Quite yeye ndie anajua mfumo ukoje..
 
Mainjinia wa Maji mikoani kazi mnayo, mnapewa pesa za kununua Pump nyie mnazihonga.
 
Kuchukia shirika la ndege ni ujinga... nchi gani inayojielewa ambayo haina shirika la ndege?
 
Yeah ni vigumu mno kukariri, now i know. Thank you mkuu kunifumbua hilo
 
Hivi lile somo letu pendwa la historia yetu kuanzia darasa kwanza hadi kidato cha sita imekuwaje mbona kimya mpk sasa?! Au lilizikwa na mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…