Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Rais Mama Samia wakati anazungumza mipango ya Serikali yake, amezungumzia malengo ktk sekta tofauti lakini alipozungumzia kulisadia kujiendesha shirika la ndege Bunge lote lililizizima kwa dk kadhaa na kuonesha kuwakosha Wabunge.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Rais Mama Samia akiongea na Wabunge na kuongelea Maazimio ya Serikali ya Awamu yake.

KILIMO: amezungumzia kwa kiwango kizuri maazimio
~Kuongeza mavuno
~Uzalishaji Mbegu bora
~Masoko
~ Mikopo na Bima ya Kilimo


VIWANDA: Kuongeza uzalishaji ili kuongeza idadi ya uhitaji wa malighafi na kufufua Viwanda vilivokufa

UTALII: kuanzisha vyanzo vipya vya Utalii na kuboresha miundombinu ya vivutio vya Utalii.

Kwa hizi sekta 3 tu serikali inahitaji kuwa na vyanzo vikubwa vya mapato, sioni kama itawezekana kwa namna mfumo wetu ulivo.


Haya Machache
Hata makufuli aliposema elimu itakuwa bure mlikataa...let's keep Quite yeye ndie anajua mfumo ukoje..
 
Mainjinia wa Maji mikoani kazi mnayo, mnapewa pesa za kununua Pump nyie mnazihonga.
 
Kuchukia shirika la ndege ni ujinga... nchi gani inayojielewa ambayo haina shirika la ndege?
 
Ok.

Basi kaa ukijua kuwa hata wasomaji habari kwenye runinga huwa hawazikariri habari wanazozisoma.

Huwa wanazisoma kutoka kwenye hicho kifaa lakini pia wanakuwa wana nakala pia just in case kinapata hitilafu.

Ni vigumu mno kukariri mambo yote hayo kama anayoyazungumzia Rais.
Yeah ni vigumu mno kukariri, now i know. Thank you mkuu kunifumbua hilo
 
Hivi lile somo letu pendwa la historia yetu kuanzia darasa kwanza hadi kidato cha sita imekuwaje mbona kimya mpk sasa?! Au lilizikwa na mwendazake
 
Back
Top Bottom