Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Asante sana mkuuAnatumia teleprompter zipo mbili kushoto na kulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuuAnatumia teleprompter zipo mbili kushoto na kulia
Mambo ya hayati hayoMABEBERU wameturudishia gesi yetu Mkuu?
Rais Magufuli: Mabepari wametunyang'anya gesi yetu hatuwezi kuitumia kwa uhuru
Rais John Pombe Magufuli akihutubia leo Musoma amesema gesi asili ya Tanzania tayari mabepari wameshaigawana kwa mikataba yao kwa sababu tu walishiriki kuivumbua. Akiongea hayo mjini Musoma leo amesema bomba la gesi ya Mtwara lililojengwa mpaka Dar es Salaam linatumika kwa 30%, huku asilimia...www.jamiiforums.com
Hili jambo inatakiwa tufanye mdahalo wa kitaifa na kuifanya tuwe na jambo moja.Hii mitaala kila leo inabadilishwa na yeyote Alie na intereste zake.
Hata makufuli aliposema elimu itakuwa bure mlikataa...let's keep Quite yeye ndie anajua mfumo ukoje..Rais Mama Samia akiongea na Wabunge na kuongelea Maazimio ya Serikali ya Awamu yake.
KILIMO: amezungumzia kwa kiwango kizuri maazimio
~Kuongeza mavuno
~Uzalishaji Mbegu bora
~Masoko
~ Mikopo na Bima ya Kilimo
VIWANDA: Kuongeza uzalishaji ili kuongeza idadi ya uhitaji wa malighafi na kufufua Viwanda vilivokufa
UTALII: kuanzisha vyanzo vipya vya Utalii na kuboresha miundombinu ya vivutio vya Utalii.
Kwa hizi sekta 3 tu serikali inahitaji kuwa na vyanzo vikubwa vya mapato, sioni kama itawezekana kwa namna mfumo wetu ulivo.
Haya Machache
Maneno yake yanaleta faraja sana, natumai mambo ya uonevu na ubabe yatabaki historia katika nchi yetu..sasa ndio tunakienzi Kiswahili.
..kiongozi ana matamshi mazuri, anafundisha misamiati mipya.
..sio kama kipindi kile tulipokuwa tukisikia matamshi ya hovyo, vitisho, na matusi.
Yeah ni vigumu mno kukariri, now i know. Thank you mkuu kunifumbua hiloOk.
Basi kaa ukijua kuwa hata wasomaji habari kwenye runinga huwa hawazikariri habari wanazozisoma.
Huwa wanazisoma kutoka kwenye hicho kifaa lakini pia wanakuwa wana nakala pia just in case kinapata hitilafu.
Ni vigumu mno kukariri mambo yote hayo kama anayoyazungumzia Rais.
Sijawahi kusikia rais yoyote ametukana mtu. Hii ya matusi sijawahi kusikia popote...so far ktk hotuba hii sijasikia VITISHO.
..pia sijasikia kauli za kudhalilishana na MATUSI.
Kuchukia shirika la ndege ni ujinga... nchi gani inayojielewa ambayo haina shirika la ndege?