Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Mtahamisha magoli sana.
..sijaona watu wajinga nchi hii kama uv-ccm.

..mnameza tu kila mnachopewa na viongozi wenu.

..Vijana wa aina gani nyie msiohoji au kudadisi mambo??

..kuhamisha goli ni kujenga Mwanza -- Isaka, badala ya Makutupora -- Isaka.

..sasa abiria na mizigo toka Mwanza wakifika Isaka watapakia kwenye reli ya kati ya zamani?
 
Mengi yameshatajwa mkuu. Huyu mama ni tunu kwa taifa. Ichongwe sanamu yake na ziwekwe kwenye roundabout zote nchini.
 
naona swala la wanawake kupewa kipaumbele kwenye uongozi kwa kuteuliwa limepigiwa makofi na wanawake wengi kuliko wanaume
 
Wanamaliza kuliandaa wampelekee mwenye nalo akawafundishe Malaika.
 
Wapinzani wanazidi tu kupotezwa, sijui mwaka 2025 watakuja na sera gani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…