Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Mwendazake labda hajawahi kukutusi wewe tu ila alitutukana sana watanzania.Sijawahi kusikia rais yoyote ametukana mtu. Hii ya matusi sijawahi kusikia popote.
Vitisho ni relative term.
Kwanza kabisa kutuita wanyonge ni tusi kubwa.