Wo shi niubi
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,353
- 1,784
Angeyasema hayati tungesema anajisifia, pengine huyu watamuamini , sio 80% ni 100% , kinywa cha samia mwenye Mirada yote na ufanisi tumefanikiwa kutoka awamu ya tano, huyu mzee alilitendea haki taifa hili.Speech ya mama ina 80% ya yale aliyoyaacha Hayati. Keep on resting in peace Master Mind.
Yeah usiishie kupongeza kwenye mambo positive tu na kwenye mambo ambayo yanakosoa utawala wa jiwe ujitokeze hivyo hivyo kutoa kongoleWenye wivu watetereke.........😅😅😅
JPM in her Bloo
Legasi Legasi inavunjwa.Amesema watumishi wataongezewa mishahara na watapandishwa vyeo. Pia watapimwa kwa utendaji wao kupitia OPRAS iliyoboreshwa.
Naona umetoka pangoniRais Samia oyeeeeeee
Muache kuchonganyisha.. mjipeleke huko mkasikilizwe..
Kazi inaendelea...
Nawaonya wale wote wanaodhani kuondoka kwa jeipiemu kutakuwa hakuna usimamizi wa mali za umma, uzembe, wizi...nataka niseme hayati amekwenda peke yake, maono yake tunaendelea kuyafanyia kazi.....
Yule mzee nilimchukia sana kwa hiki kitendo chake! Wacha tu niendelee na hii tiba ya kunywa maji kwa wingi, ili kupunguza hasira zangu dhidi yake.Aliwakomoa makusudi watumishi kwa hisia eti walimpigia Lowasa kura 2015.Roho mbaya inaua
Walipiga vigelegele kwenye mambo yaliyokuja kufutwa, sembuse leo..!!! Hata iliposemwa kwamba mradi wa Bagamoyo usimame walishangilia na leo hii MKUBWA WAO WA MUHIMILI AMESIKIKA AKISEMA JPM ALISHAURIWA VIBAYA, WAKASHANGILI...!!Nawasalimu kwa jina LA JMT,Leo tar...22/4/2021 kama ilivyo haleluya kuu iimbavyo katika siku ya pasaka ndivyo kilisikika kigelegele kikuuu katika viunga vya Bunge la JMT Dodoma,kilichopigwa kwa sauti ya kipeekee ya juu madaha,ustadi Mara baada ya wimbo wa tuna Imani na Mh.Samia kusikika....kigelegele hicho kitakatifu kilipasua anga za bunge kwa sauti ya juuu sana...hata hivyo haijajulikana ni mbunge yupi mwenye sauti hiyo ya ndege aliyekipasua....ama kweli watu wanajua kutetea ugali wao....life is too short sio kwa ubaya amenifurahisha sana aliyekipasua. Kazi iendelee.
Hili dongo kamtupia nani?Kuna watu watajitokedha kwamba sitaweza kutekeleza yote niliyoyasema hapa kama mwanamke, Mwenyezi Mungu hakuumba ubongo dhaifu kwa mwanamke, nataka niwaambie nina uzoefu wa kutosha serikalini na kwenye chama na najiamini ninaouwezo wa kuliongoza taifa hili
Ushuzi tupuMungu anaipenda sana Tanzania.
Mungu kumbe ukimuomba anajibu hata kwa wakati
Siamini kama leo tupo huru tena ndani ya nchi yetu....
Hakika Mungu ashukuliwe na liwe funzo kwa manyang'au wote waliotaka kutupeleka kusiko.
"I Love this country".