Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Wenye wivu watetereke.........😅😅😅

JPM in her Bloo
Yeah usiishie kupongeza kwenye mambo positive tu na kwenye mambo ambayo yanakosoa utawala wa jiwe ujitokeze hivyo hivyo kutoa kongole

Sio kwenye report ya CAG umpe kisogo
 
Shangwe za ajabu zilizopigwa Bungeni na Wabunge baada ya kumsikia Rais Mama Samia akisema watasaidia kuiinua shirika hilo.

Kuliinua shirika hili kunataka
~Uwazi
~Mtaji
~Ushirikishwaji
~Utaalam
~Uzalendo
 
Magufuli wakati naye anaingia alihutubia bunge kwa hotuba inayofanana na hii!!
Sasa Tusubiri matendo tu!SIASA ZIMEKUWA SIHASA🤓🤓.

Tuna Imani na mama SSH.
 
Upo vizuri Rais wetu.. Binge la hotuba

Tupo nawe


Wanawake oyeeeeee


Kazi inaendelea.....
 
Mbona 2016/2017 1.5 trillions iliota miguu pale hazina na 2017/2018 1.2 trillions ikaota miguu pia? Kasoma ripoti ya CAG Kichere kuhusu wizi wa kutisha na ufisadi Serikalini?
Nawaonya wale wote wanaodhani kuondoka kwa jeipiemu kutakuwa hakuna usimamizi wa mali za umma, uzembe, wizi...nataka niseme hayati amekwenda peke yake, maono yake tunaendelea kuyafanyia kazi.....
 
Mama mbona kama anafikisha ujumbe kwa watu fulani. Nani kasema hajiamini huko CCM
 
Kuna watu watajitokedha kwamba sitaweza kutekeleza yote niliyoyasema hapa kama mwanamke, Mwenyezi Mungu hakuumba ubongo dhaifu kwa mwanamke, nataka niwaambie nina uzoefu wa kutosha serikalini na kwenye chama na najiamini ninaouwezo wa kuliongoza taifa hili
 
Aliwakomoa makusudi watumishi kwa hisia eti walimpigia Lowasa kura 2015.Roho mbaya inaua
Yule mzee nilimchukia sana kwa hiki kitendo chake! Wacha tu niendelee na hii tiba ya kunywa maji kwa wingi, ili kupunguza hasira zangu dhidi yake.

Alituumiza sana watumishi wa umma. Yaani mpaka ilifikia wakati nilionekana mimi ni Chadema! Kumbe sina hata chama! Kisa tu ni namna nilivyo onesha hisia zangu dhidi yake.
 
Nawasalimu kwa jina LA JMT,Leo tar...22/4/2021 kama ilivyo haleluya kuu iimbavyo katika siku ya pasaka ndivyo kilisikika kigelegele kikuuu katika viunga vya Bunge la JMT Dodoma,kilichopigwa kwa sauti ya kipeekee ya juu madaha,ustadi Mara baada ya wimbo wa tuna Imani na Mh.Samia kusikika....kigelegele hicho kitakatifu kilipasua anga za bunge kwa sauti ya juuu sana...hata hivyo haijajulikana ni mbunge yupi mwenye sauti hiyo ya ndege aliyekipasua....ama kweli watu wanajua kutetea ugali wao....life is too short sio kwa ubaya amenifurahisha sana aliyekipasua. Kazi iendelee.
Walipiga vigelegele kwenye mambo yaliyokuja kufutwa, sembuse leo..!!! Hata iliposemwa kwamba mradi wa Bagamoyo usimame walishangilia na leo hii MKUBWA WAO WA MUHIMILI AMESIKIKA AKISEMA JPM ALISHAURIWA VIBAYA, WAKASHANGILI...!!
 
Kuna watu watajitokedha kwamba sitaweza kutekeleza yote niliyoyasema hapa kama mwanamke, Mwenyezi Mungu hakuumba ubongo dhaifu kwa mwanamke, nataka niwaambie nina uzoefu wa kutosha serikalini na kwenye chama na najiamini ninaouwezo wa kuliongoza taifa hili
Hili dongo kamtupia nani?
 
Mungu anaipenda sana Tanzania.

Mungu kumbe ukimuomba anajibu hata kwa wakati

Siamini kama leo tupo huru tena ndani ya nchi yetu....

Hakika Mungu ashukuliwe na liwe funzo kwa manyang'au wote waliotaka kutupeleka kusiko.

"I Love this country".
Ushuzi tupu
 
Back
Top Bottom