Nawasalimu kwa jina LA JMT,Leo tar...22/4/2021 kama ilivyo haleluya kuu iimbavyo katika siku ya pasaka ndivyo kilisikika kigelegele kikuuu katika viunga vya Bunge la JMT Dodoma,kilichopigwa kwa sauti ya kipeekee ya juu madaha,ustadi Mara baada ya wimbo wa tuna Imani na Mh.Samia kusikika....kigelegele hicho kitakatifu kilipasua anga za bunge kwa sauti ya juuu sana...hata hivyo haijajulikana ni mbunge yupi mwenye sauti hiyo ya ndege aliyekipasua....ama kweli watu wanajua kutetea ugali wao....life is too short sio kwa ubaya amenifurahisha sana aliyekipasua. Kazi iendelee.