Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

Naangalia kwa makini sioni akiinamisha kichwa kusoma, kama kakariri basi mama yuko vizuri

..wanakwambia mama huwa anajiandaa.

..yule mwingine alikuwa anakurupuka tu ndio maana wakati mwingine ilibidi atoe lugha zisizo na staha, kwa mfano kudhalilisha kinamama weupe.
 
Naangalia kwa makini sioni akiinamisha kichwa kusoma, kama kakariri basi mama yuko vizuri
Na mm natazama kwa makin pengine kuna ka ipad kwa mbele lkn sion mewan ikimulikwa na mwanga. Lkn itakuwa anasoma kuna sehemu wamemuwekea
 
Kuna kifaa maalum (kioo) mbele yake kinaitwa teleprompter, mtoa hotuba anaona maandishi yote ya kwenye hotuba yake pasipo kuinama kusoma hotuba yenyewe.

Anakuwa kama anaangalia hadhara tu iliyo mbele yake, kumbe na maandishi yanapita mbele yake
Naangalia kwa makini sioni akiinamisha kichwa kusoma, kama kakariri basi mama yuko vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…